nimeomba dodoso ndefu jina langu limetoka dodoso fupi

Kokwa kavu

JF-Expert Member
Jan 3, 2012
220
41
hapa inakuaje maana kata nzima majina yaliyotoka ni dodoso fupi wanajamii ufafanuzi plz!
 
hapa inakuaje maana kata nzima ya mabibo majina yaliyotoka ni dodoso fupi wanajamii ufafanuzi plz!
 
jamani eeeh! tumewachoka na hii ishu ya sensa! mana mara majina hayajatoka! mara dodoso fupi! mara sijui nini! nyie nendeni kwenye semina muingie mtaani kubishana na uamsho sasa!
 
Hivi dodoso ndefu na fupi tofauti yake ni ipi?
Au dodoso ndefu wanapiga mpunga mrefu, nini!
 
nnachojua watu wa dodoso refu wana maswal meng ya kuwauliza wanakaya kuliko wa dodoso fup, ila pia wa dodoso refu wataanza semina tar 9 wakat wa dodoso fup wataanza tar 13.. Wa dodoso refu watakuwa na pesa nyng kdgo
 
hata kata ya kawe wametoa vivyo hivyo,lakini ww shukuru hata hiyo fupi umepata kwa sababu sisi wenzako tumeangukia pua.
 
Acha wivu dogo kama vp kaa pembeni au fumba macho kila ki2 kina wakati wake na hapa ndo sehemu ya kujuzana kila ki2 kama umechoka just sign out waache wa2 waburudike wengne wapo kitaa miaka nenda rudi huwez jua sensa inaweza kuwa mkombozi wao wakapata mtaji wa kuuza vi2 vidogovidogo wakatoka kwenye huu ulimbuken wa kuajiriwa
jamani eeeh! tumewachoka na hii ishu ya sensa! mana mara majina hayajatoka! mara dodoso fupi! mara sijui nini! nyie nendeni kwenye semina muingie mtaani kubishana na uamsho sasa!
 
Acha wivu dogo kama vp kaa pembeni au fumba macho kila ki2 kina wakati wake na hapa ndo sehemu ya kujuzana kila ki2 kama umechoka just sign out waache wa2 waburudike wengne wapo kitaa miaka nenda rudi huwez jua sensa inaweza kuwa mkombozi wao wakapata mtaji wa kuuza vi2 vidogovidogo wakatoka kwenye huu ulimbuken wa kuajiriwa

WE BUNGO WIVU UNAUJUA WEWE! WIVU ANAO HUYO MWENYE DODOSO FUPI, ANAWAONE WIVU WENZAKE WENYE MADODOSO MAREFU NDO MANA AKAKURUPUKA HUMU! BADALA YA KUSHUKURU KUPATA HATA ILO DODOSO FUPI! MIMI SINASHIDA NA SENsA NINA BIASHARA ZANGU ZA MBOGA ZA MAJAnI KWA SIKU 15 HADI ISHIRINI! ssra hawapo huku, tra na income tax hawapo huku! brela hawapo huku n.k!
 
hata kata ya kawe wametoa vivyo hivyo,lakini ww shukuru hata hiyo fupi umepata kwa sababu sisi wenzako tumeangukia pua.

aixee pole kuna mtu kanichekia jina kata ya kawe kaniambia lipo na semina tareh 11 nataka nikachek mwenyewe kesho.
 
umepewa dodoso fupi ila kazi utafanya ya dodoso refu na malipo dodoso fupi, hiyo ndiyo tafsiri yake?
 
We jamaa nadhani ulitaka kutuonesha tu kwamba umepata maana hata hatujui tukupe msaada upi, kama huitaki hiyo nafasi kuna wenzio tunaitafuta hiyo ya dodoso fupi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom