Recent content by mtu mgumu

  1. mtu mgumu

    JamiiForums Mwanaume Rijali anaemuogopa Allah hawezi kuwa na mwanamke mmoja

    Na niwabishi haijawah kutokea
  2. mtu mgumu

    JamiiForums Ukioa mke mkirsto mkatoliki una asilimia nyingi za kuwa na familia yenye furaha na mafanikio

    Ipo wazi wanawake wa hiyo dini Wana nidhamu sana
  3. mtu mgumu

    JamiiForums Msaada: Mtoto wangu wa kiume wa miezi saba haoneshi dalili ya kusimamisha uume

    Kwani hapo kafanya nini cha ajabu??😁😁
  4. mtu mgumu

    JamiiForums Nafanyaje kuwa pilot wa ndege?

    Elimu yako kwanza ipoje usikute hata la 7 huna
  5. mtu mgumu

    JamiiForums Young Lunya ana u-GOAT gani?

    Sawa siyo goat ila bwana mdogo anajua. Labda uwe na chuki zako
  6. mtu mgumu

    JamiiForums TUJIKUMBUSHE: Timu Maarufu za Ndondo kutoka mitaa yetu

    Nyundo cf Kigoma
  7. mtu mgumu

    JamiiForums Usimuazime simu yako mtu usiyemfaham vizuri, Itakugharimu

    Kuna dogo hapa home alikaa mahabusu week2 nzima kisa kumuazima mtu simu. Kumbe anampigia mwenzake wakavunje sehemu. Upelelezi ukaonyesha simu ya dogo ilihusika aliemuazima simu hamjui ikabidi atafutwe ile namba iliyowasiliana kupitia simu ya dogo baada ya kunaswa ndiyo dogo katoka
Back
Top Bottom