Recent content by Mtu Kati

  1. Mtu Kati

    Niliogopa nilipoanza kusikiliza wimbo mpya wa Roma 'Mimi ni Nani?

    Amelipoambiwa wewe ndo kifo bado alikataa na kuuliza yeye ni nani so bado yeye sio mauti Sent from my SM-N986U1 using JamiiForums mobile app
  2. Mtu Kati

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Now days biashara iko mitandaoni lakini SALUM S HEMED anakubali kuchafuka na kuharibu biashara yake kwa kutokuwa mkweli na muanifu kutokana na hili siwezi tena kununua bidhaa mtandaoni Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Mtu Kati

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Ni story ndefu sana ila jamaa ana Tv zangu mbili tangia mwanzoni mwa December tumefanya biashara fresh lakini kupata mzigo wangu imekuwa mtihani...kuna hatua ambazo tayari nishazichukua na ninaamini kupitia haya ninayoyafanya sasa hivi tv zangu nitazipata Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Mtu Kati

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    SALUM S HEMED nipatie tv zangu tutafikia sehemu ambayo sihitaji tufike Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Mtu Kati

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Salum S Hemed Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Mtu Kati

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Nashukuru sana 'bwa' tajiri Salum S Hemed nimepokea mzigo wangu hapa Mtwara ukiwa salama salmini. Tv LG 49 Inch 1,050,000 Tv LG 43 Inch 770,000 Brand New with two year warranty. Wall Blacketts HDMi Cables Flash Disc GB 32 T-shirt mbili za offer
  7. Mtu Kati

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Google translation
  8. Mtu Kati

    Nauliza:Oil inasaidiaje ukipata ajali ya majini?

    Ilikuwa na ubovu kwenye nini labda tuanzie hapo coz manusura wenyewe wa ajali hawasemi kuwa kivuko kilikuwa kibovu
  9. Mtu Kati

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Samsung 49 na LG 43 nina 1.65M kama inakulipa boss wangu tufanye biashara
  10. Mtu Kati

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Natafuta Tv mbili LED za Samsung LG au TCL moja iwe inch 50 nyingine 43
  11. Mtu Kati

    Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

    Hahahah labda inawezekana itakuwa ziko nyiiingi kwenye hilo andiko lake kitu ambacho kinadhihirisha ni stori tu kufikirika na mambo ya cinema cinema Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Mtu Kati

    Ed Woodward, Jose Mourinho na msemo wa "Kwenye miti hakuna wajenzi"

    Tangia Mourinho amepewa jukumu la kuinoa klabu ya Manchester United msimu huu wa 2018/2019 utakuwa ni msimu wake wa tatu na tayari amekwishafanya usajili wa wachezaji 11 hadi sasa ambao wanne kati yao Paul Pogba Henrikh Mkhitaryan Eric Bailly na Zlatan Ibrahimovich aliwasajili katika msimu wake...
  13. Mtu Kati

    Rais Magufuli anatarajiwa kuipokea ndege ya ATCL iliyokuwa inashikiliwa Canada uwanja wa ndege(JNIA)

    TGFA ni Tanzania Government Flights Agency ni chombo cha serikali ya Tanzania wanazo ndege kadhaa ambazo huzikabidhi taasisi nyingine wazifanyie kazi hata ile ndege ya Rais iko chini ya TGFA kwa ATCL hii itakua ni ndege ya tatu kukabidhiwa kutoka TGFA
  14. Mtu Kati

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Bajeti ya 650k napata TV aina gani na nchi ngapi
Back
Top Bottom