Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

FORTALEZA

FORTALEZA

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Messages
1,941
Likes
2,862
Points
280
FORTALEZA

FORTALEZA

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2017
1,941 2,862 280
Samsung led Panel tv inch 55 zipo 4...55×4.....bei 5000000/=
Ina port zote za kisasa yani hdmi, usb, vga, audio out port
unaweza kuitumia kama projecta, presentation ktk collage, offisini, ktk mabanda ya kuonyesha mpira, matangazo ya kampuni n.k
#kazkaz View attachment 954650 View attachment 954651
Katika maduka mbalimbali ya tv kariakoo nikipita huwa naona tv zao zimeunganishwa na sky sports au Bein Sports, huwa wanatumia ving'amuzi gani kupata hizo chaneli?
 
Tajirii_

Tajirii_

Senior Member
Joined
Aug 30, 2018
Messages
134
Likes
36
Points
45
Tajirii_

Tajirii_

Senior Member
Joined Aug 30, 2018
134 36 45
*INAHITAJIKA*
Flat screen (inch 24)
Any Brand
Iwe katika Hali nzuri.
Budget 150k
Location *Mwanza*

Whatsapp 0746510577
 
Eurostongelectronics

Eurostongelectronics

Member
Joined
Dec 8, 2018
Messages
15
Likes
2
Points
5
Eurostongelectronics

Eurostongelectronics

Member
Joined Dec 8, 2018
15 2 5
OFFER OFFER OFFER

Star X TV 32" - 350,000

Free delivery in DAR

CALL/WHATSAPP 0672493810
tapatalk_1544439202598-jpeg.962970
 
Mutha007

Mutha007

Senior Member
Joined
May 27, 2018
Messages
110
Likes
102
Points
60
Mutha007

Mutha007

Senior Member
Joined May 27, 2018
110 102 60
Roku Express+ Kit
Condition: Brand New Unboxed
Price: 150 000 (Negotiable)

Inafanya kazi na TV wowote yenye HDMI port na kuifanya TV ya kawaida iwe Smart TV with Roku OS.

karibuni. only 2 kits available.
roku-express-plus-digital-hd-media-streamer-3910rw-jpeg.973426
 
E

Elias 20

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2017
Messages
453
Likes
68
Points
45
E

Elias 20

JF-Expert Member
Joined Nov 11, 2017
453 68 45
Nauza flatscreen star x mpya inch 43 bei 650000 shs . call 0787119969
img_20181221_100543-jpeg.973631
 
Kichangiri

Kichangiri

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2017
Messages
261
Likes
387
Points
80
Kichangiri

Kichangiri

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2017
261 387 80
Samsung led Panel tv inch 55 zipo 4...55×4.....bei 5000000/=
Ina port zote za kisasa yani hdmi, usb, vga, audio out port
unaweza kuitumia kama projecta, presentation ktk collage, offisini, ktk mabanda ya kuonyesha mpira, matangazo ya kampuni n.k
#kazkaz View attachment 954650 View attachment 954651
Boss mzigo ulifika poa now naenjoy tuu. Shukrani kwa huduma nzuri. I appreciate kwa kweli. Hope ntakuungisha tena na tena
img_20181219_071653-jpeg.973806
 
Madimba jr

Madimba jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2017
Messages
958
Likes
1,351
Points
180
Madimba jr

Madimba jr

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2017
958 1,351 180
Watu wengine mnajifanya mko update mkiletewa izo tv mnaufyata, nivile tu mtu anataka aonekane yuko latest
ndo tatizo la jf,kuna uzi kule uchumi na Biashara jamaa kauliza gharama ya kujenga nyumba vyumba vitatu,dinning,sebule na choo daah wameibuka watu wanamuambia kwa uchache andaa milioni 200😀😀😀 si balaa hilo
 
Ngovongo

Ngovongo

Senior Member
Joined
Jan 28, 2018
Messages
173
Likes
189
Points
60
Ngovongo

Ngovongo

Senior Member
Joined Jan 28, 2018
173 189 60
Ili jukwaa limebaki nyumba la maonyesho siku hizi yanii wale makonki wa kupost item wameacha km sio kususa kabisa..
 
son_of_masia

son_of_masia

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2015
Messages
255
Likes
132
Points
60
son_of_masia

son_of_masia

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2015
255 132 60
Ili jukwaa limebaki nyumba la maonyesho siku hizi yanii wale makonki wa kupost item wameacha km sio kususa kabisa..
Kipindi cha nyuma walikuja kwa kasi nzuri kweli kutwa nilikuwa sipitishi siku bila kuangalie yaliyomo.Nadhan kilichowafanya kutoendelea ni ujuaji wengi wa watu wa uku na kutouzika kwa biashara zao km walivyoweka matarajio yao.
 
Majan

Majan

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2015
Messages
248
Likes
143
Points
60
Majan

Majan

JF-Expert Member
Joined Jul 2, 2015
248 143 60
Samsung led Panel tv inch 55 zipo 4...55×4.....bei 5000000/=
Ina port zote za kisasa yani hdmi, usb, vga, audio out port
unaweza kuitumia kama projecta, presentation ktk collage, offisini, ktk mabanda ya kuonyesha mpira, matangazo ya kampuni n.k
#kazkaz View attachment 954650 View attachment 954651
Samahani mkuu kama sikosei iyo bei apo inasomeka Million 5 je ndo bei sahihi au nimakosa yakiuandishi?
 
Forum statistics

Threads 1,250,502
Members 481,371
Posts 29,735,853