Kama bado atakua anaumwa kama taarifa za awali zilivyosema (ingawa hazikufafanua), Basi huyu ndio atakua mtanzania aliyeumwa/aliyeugua kwa muda mrefu zaidi.
Cha kushangaza zaidi kuhusiana na huyu jama hakunaga hata rumous mtaani ya kinachoendelea zaidi ya majibu ya mkato kuwa ni Mgonjwa
Mleta mada tunaomba usituadhibu kwa makosa ya Moderator, tuna kiu sana na hii stori. Suala la Mods we Mkabidhi Bwana Jini au yule Babu wa Zenji amalizane nao leo usiku ili kesho washindwe kwenda haja kutwa nzima.
Kwani Mkuu huna Mawasiliano na Bwana Jini Bong'ozi umchomee huyu Moderator ili usiku huu amuwashie moto aache shobo na Nyuzi za watu[emoji16]
NB: Kama kuna gharama naahidi kuchangia nusu gharama[emoji16]
Mi niwataadharishe tu wote mnaoufuatilia huu uzi kuwa Bwana JINI kashashtukia kuwa siri zake zinawekwa hadharani, hivyo leo msilale kizembe atashindwa mtu kwenda haja kesho.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.