Raphael focus
JF-Expert Member
- Nov 4, 2018
- 786
- 4,633
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Muhindi kashafanya yake hapo
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Muhindi kashafanya yake hapo
Akija kuwa sister duu ukimuonyesha hii picha utazua varangati si la kitoto
Yaani mpaka leo nilikua sijaielewa kabisa hii picha.
Makofiiii[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1625418
Ni kama askofu chid vile😂
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni kama askofu chid vile[emoji23]
Kuna bro wangu alikuwa nayo halafu getoni kwake amebandika magazeti ukuta mzima halafu gundi alikuwa anatumia uji wa muhogo😀😀Wahenga....
View attachment 1625433
Bila shaka mademu walikuwa wanapishana tu kwenye geto la msela. Kila nyakati na kitabu chake aisee [emoji16][emoji16]Kuna bro wangu alikuwa nayo halafu getoni kwake amebandika magazeti ukuta mzima halafu gundi alikuwa anatumia uji wa muhogo[emoji3][emoji3]