Recent content by mtotomtamuu

  1. mtotomtamuu

    JamiiForums Tanzania Azam Taxi hulipwa Tsh 300 kwa kila abiria

    Hao ni waongo azam tax huwa wanajua vipi idadi ya abiria iliyoingia mule ndani mpaka wachaji sh 300 kwa kichwa maana watu wanajaaga tu huwa hawana mahesabu maalum
  2. mtotomtamuu

    JamiiForums Tanzania Shirika la ndege la Precision lisimamishwe haraka kuruka anga la Tanzania kabla ya madhara makubwa kutokea

    nulpanda kwenda zenji aloo ikitua inatikisika hatari
  3. mtotomtamuu

    JamiiForums Tanzania Mnaofanya biashara na Maaskari mna Moyo sana, Nimeshindwa kuwavumilia

    Ni mwaka wa tatu sasa nipo kwenye biashara ila katika changamoto nilizopitia mojawapo ni kufanya biashara na watu wanaoitwa maaskari aisee baadhi waliwahi kunizingua Mmoja nilimtumia mzigo mkoa kama mkopo akasema anamchukulia na rafiki yake siku ya kulipa ilipoklfika akamtupia mzigo tafiki yake...
  4. mtotomtamuu

    JamiiForums Tanzania Rais Paul Kagame ashambuliwa na mawe London

    Ni aibu kwa taifa kubwa kama Congo kuonewa na nchi kama Rwanda, Congo ilitakiwa iwe kama Russia maana ina Madini ya kutisha kutengeneza silaha
  5. mtotomtamuu

    JamiiForums Tanzania Selfika na JF: Snap it. Show it

    k
  6. mtotomtamuu

    JamiiForums Tanzania Nina mashaka sana na utoaji wa ajira za TPA

    Katika ajira zilizotangazwa juzi na TPA waliita watu wengi hadi ambao hawajasoma course maalu ya mambo ya Bandari ambayo inatolewa na chuo chao cha Bandari, na kwa bahati mbaya wakaita kwenye interview watu ambao hawakusoma mambo ya Bandari kwenda kwenye interview, na kwa bahati mbaya zaidi...
  7. mtotomtamuu

    JamiiForums Tanzania Naanza kuamini wafanyabiashara wa mafuta wana nguvu sana

    Moda msiunganishe huu uzi. Kwa kweli hawa watu nadhani wana nguvu ya ziada na nnaamini kuna vigogo wengi wanadeal na hii biashara maana ni kama Serikali inawabeba sana. Fikiria akiba ya mafuta ni ya miezi miwili nyuma ila bei imepata matuta yamepandishwa hapo hapo ndani ya muda huo huo, mafuta...
  8. mtotomtamuu

    JamiiForums Tanzania Wanaosema Diamond hajui kuimba ni wivu au ni kweli?

    mhh Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
  9. mtotomtamuu

    JamiiForums Tanzania Kova ndiyo kachoka namna hii?

    huyo mzee naskia ana duka la lampard electronics pale tena kubwa sana kariakoo hana njaa huyo na uzee ni lazima huyo 70 kuendelea haikosi Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
  10. mtotomtamuu

    JamiiForums Tanzania Wanaosema Diamond hajui kuimba ni wivu au ni kweli?

    Naskiliza hapa kazi Ya Diamond Platnumz Wonder naona kijana anajua sana ana mziki mzuri kwa kweli, sijui wanaosema hajui kuimba wao wanaimba nini Mcheki hapo akiimba live maana naona kijana kwa sasa ni Tajiri ana kila kitu ambacho hata sasa akisataafu mziki ataendeea kuishi maisha ya...
Back
Top Bottom