Rais Paul Kagame ashambuliwa na mawe London

Rais Paul Kagame ashambuliwa na mawe London

Katika jitihada za kupinga waasi wa M23 wanaotajwa kuungwa mkono na taifa la Rwanda.
Raia wa DRC waishio jijini Landon wameshambulia msafara sna Raisi wa Rwanda kwa machupa ya maji na mawe huko jioni london.

Heko Wana Mboka

Congo Ni Kama tembo........... Rwanda Ni sisimizi .....how tembo analia kwa sisimizi
 
Wewe kwa macho yako unaona Rwanda iko pekeake??karagabaho.

#MaendeleoHayanaChama
Upo sahihi mkuu.. Rwanda anatumiwa tu, ila na yeye anajinufaisha hapo hapo.. Akienda kuiba kiasi anapeleka Kwa mabwana zake chengine anabaki nacho.
Lkn huo mchezo wanacheza wawili Rwanda na Uganda but why kelele nyingi ni Kwa Rwanda tu. ?
 
Katika jitihada za kupinga waasi wa M23 wanaotajwa kuungwa mkono na taifa la Rwanda.
Raia wa DRC waishio jijini Landon wameshambulia msafara sna Rais wa Rwanda kwa machupa ya maji na mawe huko jioni london.

Heko Wana Mboka

Safi
 
hii ni mara ya pili nakumbuka
 
Wacongo kwa propaganda mitandaoni wako vzr wanawashinda mpk Wa-ukraine,wanashinda kwny kila kitu Ila Kule field wako choka mbovu,Big for Nothing.

Slava Congo,Slava Congo [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom