Recent content by mtoto wa mama4

  1. mtoto wa mama4

    Wizi uliohalalisha na serikali na jamii

    Mkuu acha ubahili bhana.......kaishi ulaya Kama tz huwez
  2. mtoto wa mama4

    Mfahamu Edward Mordrake, binadamu mwenye sura mbili

    Makala ya kwanza inayofahamika kumuhusu Bwana Edward Modrake inapatikana katika Gazeti la Boston Post toleo la mwaka 1895 iliyo chapiswa na Mwandishi Mashuhuri wa hadithi za kufikirika (fiction stories) wa wakati huo Bwana Charles Lotin Hildreth.Makala hiyo inaelezea Visa mbalimbali ambavyo...
  3. mtoto wa mama4

    Njia ya Kununua DOMAIN online kwa kutumia Credit Card (kadi ya benki)

    Mkuu Tofauty naomba unijulishe zaidi juu ya kununua domain nimefanikiwa tu kufungua blog lakini bado cjafanikiwa zaidi mbele kwenye hayo mambo ya domain na je vp kuhusu ile mil2 ya TCRA,napenda pia nami kuwa brogger na pia natanguliza shukrani zangu...Asante
  4. mtoto wa mama4

    South African BLF Members Demand White Dolls Stop Being Sold To African Children

    We are special thats why we are differ all over the world ''Bravo Black people''
  5. mtoto wa mama4

    Wasifu wa Bernard Kamilius Membe

    Kwa muda mchache ambao nimefanikiwa kuwapo Jamii forum nimegundua kuwa jamii forum wamejaa Walio tumbuliwa(vyeti feki),Mafisadi wakubwa,wasio na kazi(oya oya),Wapenda maisha ya mtelezo,Wazee wa kubet,wasaliti wa serikali,wakina delicious,Ma great...
  6. mtoto wa mama4

    Hivi hii photo shop au huyu mtoto ni utundu wake ndio uliompoza wa kujipachika kwenye ili pango

    Daah umenikumbusha mbali mzee...nlishawahi kunasa nyuma kwenye dirisha la shule afu mwalimu anakuja mbio mkononi kashika fimbo nlitaman niache kichwa me nikimbie
  7. mtoto wa mama4

    Israel: Tunajiandaa kulipiza kisasi kwa Iran, kisasi hakitakuwa na mipaka ya kijiografia.

    "Ukiona analialia ujue imeingia kwelikweli " Israel aache kunung'unika na kulialia...Mbona Iran anapambana kimyakimya... ndo uwanaume
  8. mtoto wa mama4

    Zitto Kabwe: Dikteta huchukua hatua kadhaa kupandikiza utawala wa Imla

    Huyo Zitto si ndio aliye itaka serikali itangaze baa la njaa. Ebu mwambieni Zitto aache kutanga tanga na kuongea tu bila akil
  9. mtoto wa mama4

    Sanaa ya kifo

    Duuh xawa bhana mkuu lkn ni umexoma mahali, umehadithiwa, ni utafiti au kuna ushahidi wowote?
  10. mtoto wa mama4

    Proved: Diamond Platnumz alipia Matangazo Youtube

    [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji27] [emoji27] Sent using Jamii Forums mobile app
  11. mtoto wa mama4

    Siku 30 nje ya puli, leo nimekutana na haya kunako kitandani

    Ongera mkuu[emoji122][emoji122][emoji122] kwa maamuzi magumu uliyo chukua... Inawezekana kuacha puli lakini sio kazi rahix.... Fanya sana mazoezi mkuu... Hata mim niliacha kupiga puli miezi mi4 iliyopita..na xahz mambo xhwalii Sent using Jamii Forums mobile app
  12. mtoto wa mama4

    Poll: Muammar Gaddafi Vs Nelson Mandela? Nani Shujaa/mwamba Wa Afrika?

    Daah apo umenena mkuu asipo kuelewa na hapo basis...!! Sent using Jamii Forums mobile app
  13. mtoto wa mama4

    Uthibitisho: Wazungu wana akili zaidi kuliko Makabila mengine Duniani. Sisi wa Mwisho.

    Mkuu kusema hivo ni unyonge wa akili na ni kuendeleza unyonge mwafrika alio kuwa nao toka enzi za ukoloni.Kumbuka kuwa na sisi tulikuwa na mifumo yetu ya kisiasa Majeshi viwanda vyetu japo vilikuwa bado ni local industries. State kama Buganda walikuwa na kiwanda cha nguo, Mahakama, na hata jeshi...
Back
Top Bottom