Hivi hii photo shop au huyu mtoto ni utundu wake ndio uliompoza wa kujipachika kwenye ili pango

Nguvu moja

JF-Expert Member
Oct 20, 2017
3,371
2,712
FB_IMG_1541425411663.jpg
 
Wanafizikia tuambieni hapo nini kifanyike kumtoa hapo maana kwa akili ya haraka kujitoa hawezi tena maana kuingia kwa kwenda mbele ni rahisi zaidi ila kujitoa kwa kurudi nyuma ni ngumu zaidi kama konki master ,sasa wanatakiwa waanze kuukata wapi huo mti ili usimuue young konki master
 
Back
Top Bottom