Recent content by Mtoto wa Kishua

  1. Mtoto wa Kishua

    Umeanza kutumia mtandao lini? Wale wa kale tukutane hapa

    Nimeanza kusikia neno Information super highway kwenye CNN miaka ya 90 ,ninafikiri ni 92 , mwaka 1995 nilikua chuo kimoja Dar ndio nikasikia wana install Windows 95 , wakawa wana dai ni ina file kubwa na ina chukua zaidi ya 8 hrs to install , ilikua bado ushamba wa waalimu kuruhusu kutumia...
  2. Mtoto wa Kishua

    Mtanzania wa kwanza ndani ya jarida la playboy marekani

    Kwa kawaida Playboy huwa hailipi anaye tokea kwenye magazine yao kama vile wasivyo lipwa wasanii wanao perform kwenye Awards shows na Super Bowl
  3. Mtoto wa Kishua

    Marekani kuondoa wanajeshi wake Syria

    Hebu chukua time kutufafanuliwa vizuri tuelewe.
  4. Mtoto wa Kishua

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Natafuta nyimbo ina sema "We dont know what love is" halafu ina sema "Sooner or later " na kuna part mtu ana rap halafu kuna kiitikio kina sema "Do the right thing" , halafu rap ina endelea , ilikua ni ngoma moja kali sana club enzi hizo , ni wimbo wa miaka ya 90's , nani ana ifahamu...
  5. Mtoto wa Kishua

    Umewahi kutembelea familia yenye toto lililodekezwa?!

    Angalia isije kuwa hao wazazi huwa wanakusema mbele ya mtoto kwamba huwa una kwenda kula hapo.
  6. Mtoto wa Kishua

    Je, unaweza kulala kwenye chumba pamoja na watu wawili wanaofanya mapenzi?

    Sija wahi pata bahati hiyo ila ninge ifurahia kw avile napenda sana kupiga chabo
  7. Mtoto wa Kishua

    Miaka ya 1992,kabla ya kuingia tv,simu za mkononi,bodaboda,daladala na bajaji,tuliwezaje kumaliza siku?

    Kweli watu tuna tofautiana , miaka 1992 ulikua kijijini nini ?, nilidhani ungeuliza miaka 1930 huko labda , Miaka hiyo ya 1992 wenzako tulikua tuna watch Cosby Show, Different World ,Fresh Prince of Bell Air, Soul Train ,MTV the Grind , Club MTV (with DownTown Julie Brown) ,Yo rap MTV ,Top...
  8. Mtoto wa Kishua

    Nisaidieni jamani! Kichwa kinauma sana, mpaka nahisi kufa

    Headaches: Treatment depends on your diagnosis and symptoms
  9. Mtoto wa Kishua

    Mtangazaji wa Channel Ten na mumewe wapata ajali, mume afariki papo hapo

    Hii ajali sidhani kama ni ya huyo wa Channel Ten, hii imetokea Hailleselasse road , Masaki mida ya saa 11 alfajiri , hiyo sio miili ya marehemu bali ni majeruhi, walikua wanne ,wanawake wawili na wanaume wawili. Dreva alikuwa mwanamke ila inaonekana ilikua gari ya mwanaume ambaye...
  10. Mtoto wa Kishua

    Kumekucha Dar: Mwalimu St. Florence abainika kugeuza watoto kuwa wake zake, wazazi waja juu

    Tuukumbushane wale tulio fanya mafundisho pale St Peters Oyesterbay, kulikuwa na mwalim mmoja , alikua ana abuse watoto wa kiume je alipotelea wapi ?
  11. Mtoto wa Kishua

    LUPITA NYONG'O - Msanii anayelipwa pesa nyingi zaidi Afrika, Bongo nani wa kututoa kimasomaso na sisi?

    Hata huko America, ukija kwa masuala ya weusi bado light skinned people wanapata nafasi zaidi ya watu walio na muonekano wa Lupita , wote kina Beyonce Rhyhana na wengine , weupe wao una wasaidia ku market biashara zao .
  12. Mtoto wa Kishua

    LUPITA NYONG'O - Msanii anayelipwa pesa nyingi zaidi Afrika, Bongo nani wa kututoa kimasomaso na sisi?

    Washamba wengi humu wanadhani katoka kwnye kitu kama Bongo movie ya Kenya na kwenda straight Hollywood .
  13. Mtoto wa Kishua

    LUPITA NYONG'O - Msanii anayelipwa pesa nyingi zaidi Afrika, Bongo nani wa kututoa kimasomaso na sisi?

    Unajua lakini ni kwamba anayo Oscar? hayo masula ua good upbringing sio ishu in Hollywood , wote wachafu humo,kilicho mtoa Lupita ni bahati, ,alisoma chuo bora na ku pata connection ya kufanya field kwnye movie set kama assistant toka hapo akaanzia chini kabisa kwnye theater acting . Kilicho...
Back
Top Bottom