Recent content by mtoo mtundu

  1. mtoo mtundu

    Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

    mm naona tuonane tu ..manake mi ntafka fainali na ww utakimbia chumbn na chup mkonon...manake haiwezekan uwakimbie wote hao kwanzo wa league Sent from my SM-G361H using JamiiForums mobile app
  2. mtoo mtundu

    Rais wetu kama umeamua kutumia Kiswahili basi tumia Kiswahili na sio Kiswanglish

    code switching and code mixing ...anaoaswa kabsa raisi kufany hvo. so tulia apo hata ww unaongea kwa kuchanganya lugha kwa ajili ya kuweka msisitzo ..mkubwa rais yupo sahih sana lakn pia kikubwa ni ujumbe ufike kwa walengwa kwa namna zote yan
  3. mtoo mtundu

    Dagaa wanaitwaje kwa kingereza?

    shrimp
  4. mtoo mtundu

    Kijana wa kiarabu aliepo kwenye mpango wa kuachishwa masomo kwa kuikashifu Marekani na watu weupe

    si wanasema kawa Amerca is the Land of freedom.imekuaje tena.kule uhuru wa kuongea unatakiwa ukashfu nchi yako mwenywe kama baadhi ya watanzania waliokosa uzalendo kina mange kimambi..apo hufanywi kitu kweli
  5. mtoo mtundu

    Fahamu vitu ambavyo ‘Sex Dolls’ wanaweza kuvifanya

    vp inapata mimba?? me nataka mtoto Sent from my SM-G361H using JamiiForums mobile app
  6. mtoo mtundu

    Trend Reading: Salum Mwalimu, Mb. Mtarajiwa, Kinondoni!. Hata Wana CCM Wasioendekeza Ujinga, Watamchagua!.

    hacha kuzificha hisia zako ww ni mwana siasa ...ila wewe wewe una dalili za kuwa fisad Sent from my SM-G361H using JamiiForums mobile app
  7. mtoo mtundu

    Kakobe: Ninaposema mimi ni Tajiri namaanisha tajiri wa Kiroho

    biblia inasema kwamba watu waoga hawendi mbingun ..kakobe umeogopa kurudia ulichokisema sas dah naona na ww umeenda kinyme na biblia sas mbingn vp?? Sent from my SM-G361H using JamiiForums mobile app
  8. mtoo mtundu

    Mwanamuziki Nguza Viking (Babu Seya) na Mwanaye Johnson Nguza (Papii Kocha), watoka jela kwa msamaha wa Rais Magufuli

    mueshimiwa unafanya mamb makubwa ya kiutu na uzalendo wa watu wko.tunakupenda sana maisha maref kwko Sent from my SM-G361H using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom