Recent content by mtoniz

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji anayevutia kwa lugha ya Kiswahili

    Ally Saleh yupo Zanzibar mwaka huu anagombania ubunge cuf jimbo la mji mkongwe.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji anayevutia kwa lugha ya Kiswahili

    Iddi Sessanga na Mohamed Khelef wa DW Germany.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mada Moto Channel Ten: Julius Mtatiro vs Humphrey Polepole

    Huyu si mwanasiasa anachotaka nikupata umaarufu tu,Potea potea umeshaambiwa katka orodha ya mafisadi kikwete yumo mbona humzungumzi wakati yeye ndio anatawala nchi hivi sasa? Huna jipya.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif ahutubia umati wa wafuasi wa CUF Buguruni saa 3 usiku jana

    Huyo ndie mwenye Chama acha pumba zitoke ,haiwezekani wakati kama huu nyeti aondoke bure lazima amelipwa mamilioni na ccm.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Daktari: Ulaya kamwe hawang'oi meno, wanakarabati

    Nimeziba jino nikiwa england kwa pound 50 siku hiyohiyo nilianza kula lakini hapa bongo ni balaa wiki nzima huwezi kula.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Uongo ni dhambi na siko tayari kuishiriki!

    Acheni upendeleo,unataka nipost unachopenda ndio ukiweke hapa jf.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Uongo ni dhambi na siko tayari kuishiriki!

    Hii ndio siasa ya Tanzania,nyie wapinzani vipi?kila mnapopata nguvu ya kuivuruga ccm mnagombana,zitto ameondoka na kundi na wewe slaa unataka kuondoka na kundi.vumilieni hawa ccm watoke tumewachoka.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Je, wajua? - Special Thread

    Jee wajua Mbu ana hisia ya kujua mahali alipo binaadamu kwa umbali wa maili 60?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Al-Huda lafanya uchochezi

    Kama huna cha kuandika nyamaza kimya,kama umekasirika jinyonge. sawasawa,umesahau lukuvi alivyozungumza kanisani?hukusema kwa vile yuko kanisani kwanini azungumzie siasa? Na msigwa hakuwepo kanisani lakini amezungumzia habari za kanisa,kinacho kukera nini sasa?usiwe mjinga wewe kuwa muelewa.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ivona Kamuntu wa Azam Tv, acha kumuiga Salim Kikeke bwana haipendezi

    Mwanamke mapozi wacheni zenu hizo,wewe ulijua kitu gani kama hukuiga?dada iga sana uwe juu kwa juu achana naoHawaii
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania What happens, sielewi..!

    Lazima itakua kabla ya ndoa mlikua mkifanya sex sana,hamu imeondoka baada ya kufunga ndoa.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Boti mpya ya Bakhresa yawasili

    Umeona bia tu,pombe itakuuwa hiyo.pakia vitu vya maana ufaidike wewe na familia yako.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wachungaji hawapendi kwenda kuwaona au kuwaombea wagonjwa Mahospitalini?

    Hawataki kwenda kwasababu niusanii mtupu ule wanaoufanya kanisani,wale wanaowaombea kanisani ni wagonjwa wa uwongo,sasa wanaogopa kuwaombea wagonjwa wa kweli waliopo mahospitalini kwani biashara yao ya kudanganya watu itakua mwisho wake.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu wowote kuwa na vipaza sauti misikitini?

    Zile kelele za makwaya huzisikii,anza kanisani kwako waambie wachungaji wako sauti hizo nyimbo zenu za makwaya zisitoke nje halafu ndio Useme ya mskitini,kama huwezi nyamaza kimya.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wadau nisaidieni maana ya maneno haya (Alam sick)

    Mara nyingi nawaskia watangazaji wa Tv au Radio wanapomaliza kipindi au kuaga wakitamka maneno haya (alamsick), sina uhakika wa spelling zake. Nini maana yake? Na spelling zake ziko vipi?
Back
Top Bottom