Hapa inaonekana bado system haipo vizuri kwakuwa leo ndo wamedisplay. halafu mbona hawajaweka maelekezo jinsi ya kuweka kituo alichosoma mtu.
:spy::spy::spy:
MIMI MW HAMISI WA SHULE YA MSINGI IRENTE ILIYOKO HALMASHAURI YA WILAYA YA LUSHOTO; KATA YA LUSHOTO MJINI. NATAFUTA MWL WA KUBADILISHANA NAE VITUO VYA KAZI KUTOKA HALMSHAURI YA WILAYA YA MUHEZA au HALMASHAURI YA WILAYA YA IRINGA. KWA MAWASILIANO ZAIDI NITAFUTE KWA NAMBA HIZI:- 0789351166N...
escrow ilimcost zitto aende kwenye chama chake cha act akale bata huko cdm hapamfai. ila jamani mama makinda kuna muda anatumia busara sana AG kaharibu mambo sijui ana taaluma kweli inayomruhusu kuwa katka nafasi hii.
Kwa mujibu wa sheria inayosimamia uchaguzi huu kama hujajiandikisha huwezi piga kaka mimi mwenyewe niliandikisha wapiga kura chakushangaza sijajiandikisha yaani ni shiidah. Hata wananchi waliojitokeza ni wachache sana
Nahisi ITV huu uzi wameuona kwani nimefuatilia naona sasa wanakuja na ushauri wa humu ndani kidogo afadhali ngoja tuone leo na kesho siku ya mwisho ya kampeni itakuaje.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.