Sisera
JF-Expert Member
- Mar 31, 2014
- 224
- 99
Ninachokiona mimi kama kweli umedhamiria kuwa academician unaweza kutoka vizuri sana huko mbele. Kwa Tanzania kila fani mpya ina changamoto zake nyingi lakini once watu watakapoelewa maana ya "INCLUSIVE EDUCATION" "INCLUSIVE BUSINESS" Inclusive....... nk. ndipo utaona Umuhimu wako. But kwa sasa Tanzania kama unategemea ajira za serikali hakuna tofauti kubwa sana na EDUCATION nyingine japo kuna special consideration "not interms of Mafao" but in Kind. Ni vema kutazama kitu unachokisomea kwa Mtazamo wa SOKO LA AJIRA kama ulivyosema, lakini pia unaweza kutazama Kitu unachokisomea kwa mtazamo mwingine wa " WHAT ELSE CAN I DO WITH MY SPECIAL EDUCATION I HAVE" Toka nje ya Box kdg utaziona fursa nyingi. Najua Uko likizo sasa, ukirudi tutafutane hapa COST au njoo PM