Recent content by mtogapelu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania Waasia kwenye vyombo vya Usalama

    Muhindi yupo gereza la rwanda mbeya acheni u aguzi.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Trump atoka kwenye mkutano wa G20 na kiti kukaliwa na mwanae. Kisa utawala mbovu wa viongozi Afrika

    Yuko sahihi sana, uroho na ubinafsi ndyo unatutesa africa. Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
  3. M

    JamiiForums Tanzania MFANO HALISI: Road Licence inavyoikosesha serikali mapato

    Hawa jamaa hawashauliki pesa wangepiga sana shida wasomi wa kwetu hapa hawana msaada.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hivi katika kazi ya Usalama wa Taifa uchawi unahusika au ni elimu tu?

    Ukitaka kuwa mtumwa wa maisha na kumshinda shetani mfuate Mungu.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa Balimi Morogoro

    Balimi mweeeehe3eeeeee
  6. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli piga marufuku vijana wa Tanzania kwenda kufanya kazi nchi za kiarabu

    Roho mbaya sana hawa jamaa hivi huwa wanasali nini kwa stali hii?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ujinga ni kununua umeme wa maji toka Ethiopia wakati Nile inaanzia Tanzania

    Mimi napashida sana tanzania na maprof wote mawaziri akili zimegoti kununua umeme nchi maskini kama ethiopia ambayo imepigana vita na jirani yake miaka kibao leo wanawatalaam wakuzalisha umeme mpaka wa kuuza nje sisi tumebaki amani na utlivu huu ni ujinga.waethiopia kila siku tunawakamata...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Lissu: Mfalme mmoja amethibisha kuwa yeye hakuchaguliwa bali amefikia ufalme huo kwa bao la mkono

    Ktk uzao wa watoto wa kiume tanganyika Lissu ndiyo wa kwanza wengine ndyo wavulana lakini wakiume Lissu na wadogo zake hawazidi wanne 4 wengine sijui wanajinsia gani.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Watangazaji Clouds wavunja rasmi "urafiki" na Makonda, sasa kutangaza habari bila maelekezo toka juu

    Maandiko matakatifu yanasema kila jambo lina kheri yake. Alicho fanya mkuu ni kuwafungua zaidi simamieni haki ukweli daima.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Mimi ni mgombea pekee ninayeweza kutetea maslahi ya mawakili

    Mpeni kura ya ndyo.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Tanganyika Law Society(TLS) wapingwa mahakamani

    Sabato ni yupi yule wa kwenye vipindi kipindi kile hajawa star?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Chadema inajenga picha gani, kwa kupokea watu wenye tuhuma mbalimbali?

    Hata Yesu alisema nimekuja kwa wenye dhambi.doktar huitaji wagonjwa sio wenye afya.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku-highlight sentensi au maneno kwa rangi humu JamiiForums

    Ni kweli tumalize tofauti zetu ktk vikao sio humu.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa wapenda music wenye asili ya Congo

    Bamutu gacongo ndyo vile. Naikalaga pande ya beni
  15. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Uwanja wa Aman: Simba SC Vs Yanga,Kombe la Mapinduzi 10/1/2017

    Wakulima wa mpunga bonde la jangwani ndyo kazi yao mpira watuachie watoto wa msimbazi.
Back
Top Bottom