Tukutane hapa wapenda music wenye asili ya Congo | Page 15 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tukutane hapa wapenda music wenye asili ya Congo

Discussion in 'Entertainment' started by Adolph hitler jr, Dec 22, 2016.

 1. Adolph hitler jr

  Adolph hitler jr JF-Expert Member

  #1
  Dec 22, 2016
  Joined: Nov 5, 2016
  Messages: 1,794
  Likes Received: 1,543
  Trophy Points: 280
  Ni muda mwingine tena tukutane hapa wale wapenda Muziki (Music) wenye asili ya Ki-kongo unaojumuisha:-
  1:- Bolingo.
  2:- Zouk.
  3:- Sukuos.
  4:- Kiringala.
  5:- Kikasai.
  6:- n.k
  Kwa malengo ya kupeana taarifa na burudani mbalimbali kuhusiana na Music huu kama vile :-
  - Taarifa za wasanii mbalimbali wanaoimba aina hii ya Muziki..
  - Kubadilishana Videos,Audio na Image za miziki mbalimbali...
  - Kutaarifiana kuhusu wana-mziki wapya na wa kale...
  - Kupeana tafsiri Congo to Swahili..
  - N.k
  NOTE
  - Lugha yeyote inaruhusiwa ikiwemo Kikongo,Kifaransa na Kiswahili..
  - Music wa kizazi chochote tajwa hapo juu ruksa kuzungumzia na kuweka Video, Audio au picture yake. ..

  KARIBUNI SANA (WELCOME).
   
 2. Vitaimana

  Vitaimana JF-Expert Member

  #281
  Jan 6, 2017
  Joined: Nov 2, 2013
  Messages: 3,560
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Un?ekuwa unajihami hivi na kwa ......
   
 3. Vitaimana

  Vitaimana JF-Expert Member

  #282
  Jan 6, 2017
  Joined: Nov 2, 2013
  Messages: 3,560
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Kula ! na DADDIE isikie vzr utaielewa imetulia sana
   
 4. Mlaleo

  Mlaleo JF-Expert Member

  #283
  Jan 6, 2017
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 9,862
  Likes Received: 3,308
  Trophy Points: 280
  Sijakuelewa bado
   
 5. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #284
  Jan 6, 2017
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,800
  Trophy Points: 280
  Masuwa "terrorist"
  Balaaa
   
 6. h

  ho chi minh JF-Expert Member

  #285
  Jan 7, 2017
  Joined: Sep 27, 2016
  Messages: 16,336
  Likes Received: 91,355
  Trophy Points: 280
  Dilu Dilumona
  Dally Kimoko
  Prime Kapaya
  Maddoka
  Diblo Dibala
  Papa Noel
  Sylan Mbenza
  Mavatiku Vusi
  Nene Tchakou
  Solo Sitta
  Roga roga
  Allan Makaba
  Franco Rwambo
  Mbuta Matima
  Ktk hao hapo juu nani mkali wa gitaa la solo?
   
 7. kapalamsenga

  kapalamsenga JF-Expert Member

  #286
  Jan 7, 2017
  Joined: Jul 15, 2013
  Messages: 3,466
  Likes Received: 566
  Trophy Points: 280
  Dally Kimoko mzeiya anatisha sana
   
 8. Masiya

  Masiya JF-Expert Member

  #287
  Jan 7, 2017
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 3,681
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  Hao niliowapiga nyekundu ni wapiga solo waliopiga solo la Rumba Odemba (OK Jazz au Lovy du Zaire). Papa Noel ni nguli wa solo from the 1950s-(Rocka-Mambo 1957, Bantou de la Capitale, African Jazz, Bombouiia, TP OK Jazz na bado yupo). Kama Papa Noel alikaribia kuwa shule ya tatu ya kupiga gitaa, Luambo Franco wanasema yeye ndiye amekuja na shule ya pili 1953-1989 akiwa OK Jazz toka mwanzo 1956 hadi alipofariki 1989. Dr Nico ndiye mwanzili wa shule ya kwanza (African Jazz, African Fiesta, na African Fiesta Sukisa). Wengine wote ama wanapiga moja ya hizo shule au wanachanganya. Shiko Mawatu (Soukous Stars soloist) -"If you ask Shiko Mawatu who were the three greatest Congolese guitarists of all time, he says "Franco, Luambo, Makiadi" -- those are the first, middle and last names of the same person: The great Franco, greatest name in the history of Congolese music. Franco never used a pick: He played his electric guitar directly with his fingers in a unique style. Shiko Mawatu, a contemporary of Franco who also played with master Franco's predecessor Doctor Nico" Syran Mbeza aliyepitia Lovy du Zaire ametoa kitu inaitwa Immortel Franco-Africa's unrivalled guitar legend. Kwa hiyo tunapojiuliza nani mkali wa solo gitaa-ni vizuri kumweka Franco kando na hata Papa Noel katika hiyo list yako halafu acha wengine wapambane. Lakini pia usimsahau Tonton Kinzunga Ricos-Bella Bella, Lipua Lipua na Kamale na vijana wa kazi wa TP OK Jazz (Mosengo Fan Fan, Gerry Dialungana (hayati), Dizzy Madjeku, Thiery Mantuika (hayati) waliopiga nyimbo nyingi za OK Jazz bila uwepo wa Luambo).
  Bana OK imetoa kipaji kimoja kinaitwa Olivier Tshimanga-google upate habari yake anavyo chafua solo guitar kama mpiga solo huru na kijana wa Tshimangalogie.
   
 9. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #288
  Jan 7, 2017
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  Dah, Nyangarakata na Dollary, Msenzi na Diamant
   
 10. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #289
  Jan 7, 2017
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  Ule wimbo sio Bana Lunda, bali ni Kinshasa, au kwa kifupi KIN,
   
 11. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #290
  Jan 7, 2017
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  Huo wimbo mara ya Mwisho aliuimba Kinshasa, wana Kin waliupigia kelele hawautaki, lakini aliuimba tu

  Maana anasema alikuwa anasikia habari za Kinshasa yeye akiwa Kijijini, akafanya jitihada za kununua ticket ili aende Kinshasa, lakini alipofika Kin, alishangaa kuona ni mambo sio kama alivyokuwa anasikia, yaani ni kilio (mawaaa)' maana hapa kuna sherehe pale kuna kilio, hapa kuna malaya pale kuna chokoraa, yaani mji ni kama Sodoma na Gomorrah
   
 12. h

  ho chi minh JF-Expert Member

  #291
  Jan 7, 2017
  Joined: Sep 27, 2016
  Messages: 16,336
  Likes Received: 91,355
  Trophy Points: 280
  Uzi huu utatufaa sana sie tuliopenda mziki tangu zamani!
  Mziki wa vijana sijabahatika kuuelewa kabisa,
  Ukiniambia singeri sijui kama ni mziki ama kitu gani kwani ni kama kelele tu.
  Samahani kwa wale niliowakwaza kwani masikio na uelewa wangu umeshindwa kuukubali mziki huo.
   
 13. Come27

  Come27 JF-Expert Member

  #292
  Jan 7, 2017
  Joined: Dec 1, 2012
  Messages: 3,110
  Likes Received: 1,898
  Trophy Points: 280
  Ingia YouTube video
  Tafuta nyimbo ya Kanda bongoman kuna nyimbo yaitwa Elizabeth
  Utojuta ni nzuri sana kuangalia
   
 14. merengo90

  merengo90 JF-Expert Member

  #293
  Jan 7, 2017
  Joined: Nov 5, 2013
  Messages: 6,465
  Likes Received: 2,251
  Trophy Points: 280
  Huyu mzeee alikuwa na saut hatari , hazina mikwaruzo ngoja nicheki mkuu
   
 15. Come27

  Come27 JF-Expert Member

  #294
  Jan 7, 2017
  Joined: Dec 1, 2012
  Messages: 3,110
  Likes Received: 1,898
  Trophy Points: 280
  Utatoa mrejesho wa utamu wa nyimbo ili wengineo wapakue iyo nyimbo
   
 16. E

  EmmaKiwaya Member

  #295
  Jan 7, 2017
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 15
  aise mwenye wimbo wa felicity.. wa siku nyingi kidogo.. aupost hapa
   
 17. h

  ho chi minh JF-Expert Member

  #296
  Jan 9, 2017
  Joined: Sep 27, 2016
  Messages: 16,336
  Likes Received: 91,355
  Trophy Points: 280
  Kwa anayeelewa kuhusu Wenge El Paris bado ipo na iko wapi?
  Nakumbuka sana vibao
  vyao hasa DUDUNIWA.
   
 18. rayyoungr

  rayyoungr JF-Expert Member

  #297
  Jan 10, 2017
  Joined: Jul 20, 2016
  Messages: 280
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 80
  naulizia lile sebene linalopigwa sana kwenye sherehe mabaa n,k na madj pia hilo sebene linaitwaje nataka kulidownload
   
 19. m

  mwalwebe JF-Expert Member

  #298
  Jan 10, 2017
  Joined: Dec 20, 2015
  Messages: 298
  Likes Received: 274
  Trophy Points: 80
  Wakuu namkubali sana papa mkulu JB Mpiana kama nyimbo zake kalayboing,Mohamed kanyasy,mpunda hatariii
   
 20. m

  mtogapelu Member

  #299
  Jan 10, 2017
  Joined: Oct 21, 2016
  Messages: 38
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 15
  Bamutu gacongo ndyo vile. Naikalaga pande ya beni
   
 21. Roga Roga

  Roga Roga JF-Expert Member

  #300
  Jan 11, 2017
  Joined: Dec 20, 2013
  Messages: 388
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  hayo ni mahaba mufu...kalayi boeing ni wimbo wa wenge musica BCBG na ni utunzi wake Werrason noel Ngiama.
   
Loading...