Recent content by Mtitima Jr

  1. M

    JamiiForums Tanzania The English of President Magufuli of Tanzania

    Afadhal mzee Babu umejibu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    0715083218
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Bahati Bukuku ''DUNIA HAINA HURUMA''

    Waimbaji watabaki kuwa wasabato tu, streight ujumbe hakuna kupinda pinda kama ni msikilizaji wa nyimbo za injili then trust me tafuta cd yao hata moja
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mshahara kiasi gani ungependa tukulipe

    kabla hujaenda kwenye hiyo interview mara nyingi huwa ushajua wanalipaje cheza na hiyo range mfano position unayoomba mshahara wake ni laki 9 basi ukisema 7.5,Au 1 m bado utakua hujakosea
  5. M

    JamiiForums Tanzania TRA: Wengi watatoka MUCCOBS

    Kila mtu ataongea lake hapa. ila tukitoa longo longo zote turud kwenye uhalisia kwa wanaojua maana ya Elimu bora watakubali tu kuwa katika Taaluma ya Biashara hakuna chuo kizuri kama MUCCOBs, but kwenye ajira hatuangalii chuo kizuri wala chuo maarufu tunaangalia uwezo wako katika kuchanganua...
  6. M

    JamiiForums Tanzania hii itakufaa: data entrants wawili

    thanks mkuu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya kisasa inauzwa

    Jamani picha gani mnataka si hizo kaweka
  8. M

    JamiiForums Tanzania NMB Named the Best Bank in Tanzania

    Serikali sijui hata ilikuwa inawaza nini ku withdraw account NMB but kama ulivyosema mkuu 10% itakuwa inahusikika Sasa najiuliza kama serikali ina miliki zaid ya 30% hapa haioni kuwa Taasisi hii ikiyumba na wao wameingia hasara
  9. M

    JamiiForums Tanzania Benki ipi na account ipi nzuri kwa sasa?

    NMB wapo vizuri na kama ni mfanya biashara wana access ya mikopo mingi na kwa uharaka ikiwa na riba ndogo,pia kama biashara zako ni za ndani basi huitaji hizo Master card na Visa sababu ukizitumia pia zinakuongezea gharama tu,NMB wana matawi kila sehem na ndo Bank pekee inayomiliki ATM yake...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Olympus Has Fallen VS White House Down

    Olympus ni kali zaidi aisee
  11. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta shule ya kujitolea kufundisha Biology na Chemistry

    Hivi kujitolea nako wanatangaza? Unapoishi Hamna Shule za kata?au wataka Shule binafsi? Je umeshindwa kwenda kuomba direct Mkuu??
  12. M

    JamiiForums Tanzania Video:check movie ya 'after death' kwa ajili ya kumbukumbu ya marehemu kanumba,by jackline wolper

    It's one of the Currently Classic Bongo Movie kwakweli Imekaa Kitanzania unawezaa kaa Na wazazi Na muiangalie,pia Nimependa the story ilivyokaa Na mtunzi amejitahidi kuendeleza style za uncle Jj All in All movie ni nzuri Sana.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Soud Brown wa Clouds FM yupo juu.

    Nilipoona heading tu nikajua maelezo ya ndani ni Ujinga
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nipeni ufaham wakuu

    Nadhan ipo ile ya wewe Na Akon Na Rickross mkiwa mnavyta bangi
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uchoyo Kwenye Ndoa Nyingi Za Siku Hizi Ni Tatizo Zito Kwa Jamii.

    True Fact kwakweli,japo vijana wengi hatuliangalii hili swala tunapotafuta Patner maaan kuna wengine wana roho mbaya toka kwenye ukoo kabisa
Back
Top Bottom