Ningetamani salaam hizo zipigwe marufuku kutumika kwenye hadhara ya watu mchanganyiko. Tuwe na salamu inayoonesha umoja wetu kuliko salaam za kuonesha mgawanyiko wa kidini. Salaam hizo zibaki katika nyumba za ibada tu. Uhuru ni Kazi
Nawashauri muwe pro-active ili kuwafuata wateja badala ya kukaa
Tu ofisini. Nipo Dodoma eneo la Mapinduzi South, nyumba nyingi zimejengwa na watu wamehamia lakini TANESCO hawaonekani hata nguzo tu hazijasogezwa. Hivi ni kwa sababu ya monopoly au? 0784287233
Kwenye soko la ajira, digrii yako ya kanza ndio basic requirement ya mtu kuajiriwa kama Mtakwimu. Shahada ya pili ni added advantage tu. Itakufaa kwa career progression ukishaajiriwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.