Recent content by Mteule halisi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wakristo kuleni vya kuchinja wenyewe katika Krimas na mwaka mpya

    Binadamu yeyote anauwezo wa kushukuru Mungu kwa kile alichokipata na kuchinja kama kitoweo, mambo yasiyo na uhalisia kuamini sijui wavaa baragashea ndo wachinjaji Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Ntumie namba zake pm
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mrungula umepenyezwa Tena kwa wachezaji na viongozi wa Simba?

    Makolo waliukataa ukweli kua timu yao mbovu, wakajipa moyo sijui objective football, sijui wanakufa kiume, sasa acha inyeshe tujue panapovuja
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mimi ni Dereva Bolt, Uber nk., natafuta kazi

    Vipi ipo gari nikashinde nayo road?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mimi ni Dereva Bolt, Uber nk., natafuta kazi

    Poleni na majukumu ya hapa na pale, mimi ni dereva wa taxi mtandao natafuta gari ya mkataba au hesabu kwaajili ya kazi za abiria kupitia application za Bolt, inDrive na nyinginezo. Kwa mawasiliano zaidi napatikana kwa namba 0688066177. Ahsanteni.
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilimfumania shemeji yangu, Nikachukua uamuzi huu na kikatokea hiki, wewe ulifanyaje?

    Itakua story ya uongo Sent using Jamii Forums mobile app
  7. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza bajaji Sinza

    Nzima haswa
  8. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza bajaji Sinza

    Bajaji iko kwenye hali nzuri, bei ni milioni moja na laki tatu tu. Iko Sinza, Tuwasiliane kwa namba 0688066177 kwa mwenye uhitaji, Ahsanteni
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini Wanaume wengi siku hizi mmegoma kuzama chumvini?

    Haswaa huwa wanajua kuiweka kwenye usafi
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini Wanaume wengi siku hizi mmegoma kuzama chumvini?

    Tatizo wadada hawa visista duu huko chini hawawezi kabisa kupasafisha, unakuta kuna tema balaa bila hata kusogeza pua, kuna mtoto nilikutana nae bushi huko maeneo ya mpanga ndani ndani kabisa mji kasoro bahari, yule dem ni wa kawaida sanaa,,. Bas nikaomba game tukaenda kupiga show, yule dogo...
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Ilikua mwaka 2019 kipindi tumepunguzwa kazini niko zangu nimejilaza geto, nikaamua kuingia fb kupoteza muda mishale ya mchana mchana hivi. Basi nikamuona mdada mmoja yuko online alikua mtaani kwetu akaolewa na waliamia huko vikindu na mumewe ni mkaguzi wa mahesabu so huwa anasafiri mara kwa...
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilimfumania shemeji yangu, Nikachukua uamuzi huu na kikatokea hiki, wewe ulifanyaje?

    Ulitakiwa alivokuita ungeenda na wewe ukala mzigo alafu ndo umualibie
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

    Mimi mwanaume jina : F Kuzaliwa tarehe 07 mwezi wa 7 Mke jina : R Kuzaliwa tarehe 08 mwezi wa 7 Tarehe hizi itakua zinaugumu, mbona hazifanyiwi kazi??
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

    Mimi mwanaume jina : F Kuzaliwa tarehe 07 mwezi wa 7 Mke jina : R Kuzaliwa tarehe 08 mwezi wa 7
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

    Mimi niliweka yangu hujajibu.
Back
Top Bottom