Mdemu jr
New Member
- Jun 20, 2023
- 1
- 0
Vip kiongozi ulishapata gariPoleni na majukumu ya hapa na pale, mimi ni dereva wa taxi mtandao natafuta gari ya mkataba au hesabu kwaajili ya kazi za abiria kupitia application za Bolt, inDrive na nyinginezo.
Kwa mawasiliano zaidi napatikana kwa namba 0688066177. Ahsanteni.