Recent content by Mtazamo tofauti

  1. M

    Mwakyembe asisitiza: Hatukubali TLS kujiingiza katika siasa

    Wakuu hivi sheria ilioanzisha TLS inaruhusu wanasheria ambao ni wanasiasa kujiunga nacho? Kama jibu ni ndio then inasemaje kuhusu mtu anaetaka kugombea uwongozi wake?? Kama ni hapana sasa ilikuaje Lissu akawa mwanachama? Nafikiri ni wakati kila mtu atii sheria bila shuruti yaani Lissu aachwe...
  2. M

    Dodoma: Mkuu wa wilaya ya Chemba anusurika kula kichapo

    Ee Mungu kwanini unaruhusu watanzania wafike huku? Kwanini usiwape hawa viongozi hekima ya kutosha kusema na watu? Inawezekana unataka kutufundisha kitu, Tufungue sisi woye tuone ujumbe ulio ndani ya tukio hili baba!!
  3. M

    Treni ya mwendokasi yaja: Dar-Morogoro saa moja unusu, kutumia nishati ya umeme

    Kweli ni mipango mizuri sana. Hata kama hatuaminiani ni lazima kuwashukuru baadhi ya watendaji wa serikali kwa uthubutu wao. Sisemi kwamba ninauhakika wa tija katika hili ila ninachoona ni kwamba viongozi wameanza kuona mambo yanayoeleweka na kuacha zili story za abunuasi kama vile' sasa tuna...
  4. M

    Waraka uliowasilishwa UN na viongozi wa Jumuiya ya vijana CUF (JUVICUF)

    Ujumbe ndio huo!!! Hata mimi nimeusoma!!
  5. M

    Chama Cha siasa Arena for Correctioning Africa-Tanzania "ACA" kuanzishwa mwaka huu

    Namuomba muheshimiwa aangalie namna ya kuondoa au kupunguza kabisa ruzuku za vyama vya siasa!! Haki atapunguza idadi ya vyama au kuvishepu i utendaji!!! Uwiiii ni mtazamo tu
  6. M

    Nimeugua kisa kichapo cha CCM

    Hakuna namna maana upinzani wanashindana na mshindani asiyejua kuna kushindwa, wala hayupo tayari kushindwa!!! Ushauri tuachane na mambo ya uchaguzi ni gharama na upotezaji wa muda tu!!
  7. M

    DAR: Wenyeviti wa Serikali za Mitaa wakubali kurudisha mihuri, wakimbilia mahakamani

    Haki wakati unaongea!!! Mihuri mihuriii au kuna tusilolijua nyuma ya hiyo mihuri? Any way embu nisaidieni kwani wenyeviti wanamishahara? Kama hawana je wategemea nini kama vyanzo vya vipato vyao? Nitafakuru tu ndugu zangu!!
  8. M

    Lowassa: Msipingane na msimamo wa Magufuli

    Umetuacha kwenye Dilema!!!
  9. M

    GEITA: Mnyika, Katambi, Makene wakamatwa na polisi na kuachiwa

    Kama ni kweli itoshe mimi kuongoza maombi haya Eee Mungu utunusuru!!
  10. M

    Nini kinachoendelea Singida?

    Huna haja ya kumshambulia mama yetu wa kiimani wala Rosary!!!Pambana kwa hoja ili kumjibu mtoa mada!!. Bikira Maria na Rosary kwetu kama wakatoliki ni vitu visivyobishaniwa hata mara moja.
  11. M

    CHADEMA hata kama tunajivua kupotea kwa Ben, hili la Mashinji kugawa vyeti msituni linazua maswali

    Acheni mzaha na mambo kama haya!!! Mnaongelea maisha ya mtu hapa!!!
Back
Top Bottom