jongo
Member
- Aug 15, 2012
- 26
- 1
Hatimaye baada ya vuguvugu la kurudisha mihuli kuendelea kwa muda mrefu hatimaye wenyeviti wote wa mkoa wa dar es salaam wakubali kurudisha mihuli kisha kukimbilia mahakamani kupata ufafanuzi wa jambo hilo baada ya mkutano wao wa pamoja uliofanyika katika ukumbi wa TTC chang'ombe Leo hii.