Hawachukui taarifa mtandaoniili tuamini kama NECTA watafanyia kazi taarifa zetu za kufchua wahalifu wenye vyeti feki au walionunua vyeti, tunataka kuona kwanza NECTA ikilifanyia kazi hili sakata la huyu mhalifu Bashite aliyetenda uhalifu wa kununua vyeti
