Nimeugua kisa kichapo cha CCM

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,943
18,665
Wanajamvi naomba mnisaidiye kunitaftia dawa ya kupunguza kuichukia cCM. Yani naichukia mpaka naugua kabisa. Leo kidogo ndyo nmepata hauweni. Jana nili patwa na homa kali kisa kile kijembe cha mkulu.

Yana nashindwa nifanyeje. Uwezo wa kuhama nchi sina. Naombeni msaada wakuu. Nimeanza kudhoofika sana.
 
Andae

Andaeni kwanza Viongozi .Acheni kuokoteza watu waliokataliwa na CCM ndio mtashinda Uchaguzi. Hakuna Mtanzania mjinga atakayewapa upinzani waende Ikulu.Watapata kura kwenye Mikoa yao tu!
 
Uo ni ushauri wa kinafiki.
 
Wanajamvi naomba mnisaidiye kunitaftia dawa ya kupunguza kuichukia cCM. Yani naichukia mpaka naugua kabisa. Leo kidogo ndyo nmepata hauweni. Jana nili patwa na homa kali kisa kile kijembe cha mkulu.

Yana nashindwa nifanyeje. Uwezo wa kuhama nchi sina. Naombeni msaada wakuu. Nimeanza kudhoofika sana.
Hakuna namna maana upinzani wanashindana na mshindani asiyejua kuna kushindwa, wala hayupo tayari kushindwa!!! Ushauri tuachane na mambo ya uchaguzi ni gharama na upotezaji wa muda tu!!
 
Wanajamvi naomba mnisaidiye kunitaftia dawa ya kupunguza kuichukia cCM. Yani naichukia mpaka naugua kabisa. Leo kidogo ndyo nmepata hauweni. Jana nili patwa na homa kali kisa kile kijembe cha mkulu.

Yana nashindwa nifanyeje. Uwezo wa kuhama nchi sina. Naombeni msaada wakuu. Nimeanza kudhoofika sana.
CCM hawajashinda ukitaka kupata uhakika Fanya data verification kisha ongezea Polisi,Wakurugenzi Makada na Tume ya CCM
 
Wanajamvi naomba mnisaidiye kunitaftia dawa ya kupunguza kuichukia cCM. Yani naichukia mpaka naugua kabisa. Leo kidogo ndyo nmepata hauweni. Jana nili patwa na homa kali kisa kile kijembe cha mkulu.

Yana nashindwa nifanyeje. Uwezo wa kuhama nchi sina. Naombeni msaada wakuu. Nimeanza kudhoofika sana.
Panda feri kisha rukia baharini au ziwani, ndo dawa ya mtu mwenye ugonjwa wa HUSUDA Kama wewe !
 
Umejiunga na Lipuli ya Iringa halafu ikifungwa unaumwa,, wakati ikitokea wameshinda ni Breaking news
 
pole sana ndugu, ipo siku mtafanikiwa tuu kwenda pale magogoni wala usikate tamaa
 
cpend hk chama cha kjan mimi na yale maneno ya polepole na mkulu yalikuwa kama msumar kwenye kdonda. iliuma mno had kufkia 2045 hakka 2taumia sana
 
Wanajamvi naomba mnisaidiye kunitaftia dawa ya kupunguza kuichukia cCM. Yani naichukia mpaka naugua kabisa. Leo kidogo ndyo nmepata hauweni. Jana nili patwa na homa kali kisa kile kijembe cha mkulu.

Yana nashindwa nifanyeje. Uwezo wa kuhama nchi sina. Naombeni msaada wakuu. Nimeanza kudhoofika sana.
Hii ndiyo DAWA:
Usiishi katika Denial/ Kutokukubali
KUBALI kuwa kuna RAIS anayetawala. Na uchaguzi uko mbali hadi 2020. Na huyu rais WAKO hata kama HUKUMCHAGUA.

TAMKA hili "Magufuli ni RAIS wetu watanzania ikiwa ni pamoja na MIMI"
Fanya hivi X3 kwa siku kwa muda wa MIAKA 5/365. ASUBUHI, MCHANA na JIONI.
Hakika UTAPONA. Maana ugonjwa wako ni mkubwa sana.

Tumia hii DOZ bila kuiacha maana ukiacha vidudu vitakuwa SUGU huenda usiufikie uchaguzi ujao wa 2020.
Nakutakia siku njema.
 
Wanajamvi naomba mnisaidiye kunitaftia dawa ya kupunguza kuichukia cCM. Yani naichukia mpaka naugua kabisa. Leo kidogo ndyo nmepata hauweni. Jana nili patwa na homa kali kisa kile kijembe cha mkulu.

Yana nashindwa nifanyeje. Uwezo wa kuhama nchi sina. Naombeni msaada wakuu. Nimeanza kudhoofika sana.
pole dawa ni iyo iyo CCM meza kutwa mara tatu utapona
 
Jana kuna Mzee wa ccm amekula makofi na Mzee mwenzie ameleta habari za chama tawala wakati watu wanajadili kuhusu ugumu wa maisha
 
Back
Top Bottom