Uchungu wa mwana aujuaye mzazi. Hivi mnapata hisia za maumivu na uchungu kama wanazopata hawa kina mama?
Hivi mmeona ile picha ya Bi Theresia Ngowi (Mama mzazi wa Mbunge wa Kawe, Halima Mdee) akiwa amesimama pembezoni mwa kitanda alicholala mwanae pale hospitalini Aga Khan huku akibubujikwa na...
"Mashtaka ya watuhumiwa ni mabaya sana. Tulitegemea wao ndio wawe mfano wa hili. Sheria walizozitunga wao wenyewe ndio wamezivunja. Hivyo, washtakiwa wanapaswa kupewa adhabu kali;
"Kwasababu ni wakosa wa mara ya kwanza. Nimezingatia hilo tangu kesi imeanza. Ni miaka miwili sasa. Wengine wamekaa...
Mwanasheria mkuu wa serikali (AG) ameweka mapingamuzi manne dhidi ya kesi namba 35 ya mwaka 2019 iliyofunguliwa na Mwanasheria wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Paul Kisabo, ambaye anapinga watuhumiwa wa makosa ya uhujumu uchumi kunyimwa dhamana.
Katika shauri hilo...
Mratibu wa Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Onesmo Olengurumwa amefungua kesi namba 36 ya mwaka 2019 dhidi ya Mwanasheria mkuu wa serikali katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala ya Dar es Salaam akipinga watuhumiwa wa mbalimbali nchini humo kufikishwa...
Paul Kisabo ambaye ni mwanasheria wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) amefungua kesi namba 35 ya mwaka 2019 katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala ya Dar es Salaam, dhidi ya Mwanasheria mkuu wa serikali, akipinga watuhumiwa wa makosa ya uhujumu uchumi kunyimwa dhamana...
Novemba 2019, Rais wa Tanzania, Dk. John Magufuli ametimiza miaka minne tangu alipoapishwa rasmi kwa mujibu wa katiba kuwa Rais wa nchi hii.
Ndani ya uongozi wake tangu ameingia madarakani amejipambanua kama kiongozi wa wanyonge kwa kupambana na rushwa kila mahali katika taasisi ya serikali...
Kuna usemi usemao kuwa, "ukiona vyaelea ujue vimeiundwa!". Katika muktadha tu wa kawaida usemi huu una maaana yake yenye busara nzuri tu katika jamii. Usemi huu humaanisha kuwa ukiona aidha kitu kizuri au jambo jema mahali popote ujue kuna sababu zilizofanya kitu hicho au jambo hilo kuwa zuri...
Kupaza sauti tu haimaanishi kuwa mtu huyo tayari ni mhalifu. Mara nyingi watanzania huwa tunasahau kuwa mahakama ndiyo mamlaka pekee inayoweza kusema mtu fulani ana hatia juu ya tuhuma alizokuwa anatuhuniwa nazo.
Kama Manji alituhumiwa hata kwa tuhuma 1000 lakini kama hakushtakiwa na kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.