Recent content by Mtanzanika

  1. Mtanzanika

    JamiiForums Tanzania GE2020 Membe: Kuhusu suala la urais hilo halina mjadala, nitajitosa na nitashinda

    @Quinine vipi jamaa kachukua fomu?!
  2. Mtanzanika

    JamiiForums Tanzania GE2020 Membe: Kuhusu suala la urais hilo halina mjadala, nitajitosa na nitashinda

    Okey tusubiri kesho asubuhi
  3. Mtanzanika

    JamiiForums Tanzania Félicien Kabuga: Mnyarwanda aliyewatesa majasusi wa Kifaransa kwa miaka 26

    Ukizingatia mfaransa hachomoki katika wanaopaswa kulaumiwa juu ya 1994
  4. Mtanzanika

    JamiiForums Tanzania Hadaa Mpya kwa Watumishi wa Umma Kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Hii mikopo watumishi wamekuwa wakipewa toka kitambo. Na ni endelevu. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Mtanzanika

    JamiiForums Tanzania Vipi unaweza kuitoa 400K kuwa 1.2M kwa miezi minne(4) tu

    Matayo 7:6 6 “Msiwape mbwa vitu vitakatifu; na msitupe lulu zenu mbele ya nguruwe wasije wakazikanyaga kanyaga na halafu wawageukie na kuwashambulia.” Dah! Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Mtanzanika

    JamiiForums Tanzania Hapa ndipo utagombana na unaweza Kuua mafundi wa Kitanzania

    Boss umefanya sawa tu Fundi huyo ni fundi maiko tu akatafute kazi kwingine. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Mtanzanika

    JamiiForums Tanzania Nilimezwa na chatu mwaka 2008

    Japo tuone basi huo mguu uloungua. Au ndo NA MKOANI TUNATUMA Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Mtanzanika

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano wowote wa Waziri Jafo kuwa mwislamu na hasira kali aliyopata hadi kumsimamisha mtumishi mlevi kazi?

    Atafutwa kazi lakini sio kwasababu Waziri kaagiza afutwe isipokuwa kwa makosa aliyotenda....kwa maana Waziri sio Mamlaka yake ya Nidhamu. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Mtanzanika

    JamiiForums Tanzania Sitasahau mwaka 2002 ndugu yangu alipochunwa ngozi wilaya ya Mbozi wakati huo ilikuwa mkoa wa Mbeya

    Nakumbuka hii iliripotiwa ITV habari Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Mtanzanika

    JamiiForums Tanzania Coil za Engine ya Altezza 3Sge (G 4 Automatic) kutofautiana

    Asante mkuu kwa maelezo yako. Nimeweka picha ili iwe rahisi kurejea ninachozungumzia. Picha niliyoweka ni 3sge ambayo naamini ni RS200. Sasa naomba kujua kama engine kama hii zinaweza zisiingiliane coils? Maana zote zinafungwa kwenye Altezza ambapo nikitoa coils huku nikaweka kule hazikubali.
  11. Mtanzanika

    JamiiForums Tanzania Msaada: kurekebisha saa kwenye radio ya gari..

    Unapoiwasha naamini ukipata sehem ya setting, itakuongoza kwenye time and date set up. Ulijaribu?
  12. Mtanzanika

    JamiiForums Tanzania Athlete Crown sio gari la kubishana nalo ukiwa barabarani acha liende

    Mmeripoti kituo cha polisi, hua zinapatikana hizo
  13. Mtanzanika

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    hiyo picha inatakiwa iwe ya mwanamke au yoyote tu.
Back
Top Bottom