Athlete Crown sio gari la kubishana nalo ukiwa barabarani acha liende

sijawahi kumiliki carina zaidi ya kupewa lifti au kupanda kama taxi.....sijaona hiyo comfortability unayoisema kwenye karina bosi japo umedadavua vyema sana.

Lakini pia usilinganishe xtrail na carina hata kidogo...xtrail inamuacha carina mbali sana kwa kila kitu..yaani hapo umelinganisha mkurugenzi wa kampuni na mfungua geti wa kampuni...
In terms of speed tu;siyo kila Carina Ti ni mnyonge kwa xtrail,kuna Ti nyingine xtrail hawezi iacha barabarani labda dereva wa Ti aamue tu,kikubwa tusikariri😊😊
 
Dereva wenu alikuwa mwoga sidhani kama voksiwagen anaweza kumuacha kabisa crown
Ndugu crown inawah kuchanganya tu but maximum speed ni 180km/hr, but kwa Volkswagen polo tu yenye speed 260/240km/hr utaiacha kwa kuwah kuchanganya lakini mkisha nyooka highway crown inakua kama suzuk carry tu pollo inainyanyasa sana crown barabarani... And pollo ina cc chache kuliko crown.
 
Polo ni mnyama
 
Haya Magari ya mzungu yangekuwa Yana spare parts za bei nafuu wengi wengi tusingenunua Japanese cars...Magari ya mjerumani Yana nguvu Sana na stability
 
Ndugu crown inawah kuchanganya tu but maximum speed ni 180km/hr, but kwa Volkswagen polo tu yenye speed 260/240km/hr utaiacha kwa kuwah kuchanganya lakini mkisha nyooka highway crown inakua kama suzuk carry tu pollo inainyanyasa sana crown barabarani... And pollo ina cc chache kuliko crown.

Kuna siku mwezi wa 5 niliambatana na polo toka korogwe mpaka njiapanda himo, aisee alinnyanyasa sana. Ingawaje nilikuwa na Mark X 2.5L na nilikuwa sishuki chini ya 130Km/h.

Kuna time nilikuwa nikiangalia dashboard nafika spidi 170 hadi 180 lakini wapi. Hatukupishana sana kufika himo, ila cha moto nilikiona.

Thoug sasa sitokuja kimbiza tena gari kama siku ile, hivi sasa nikiendesha highway spidi mwisho 130.
 
Gari yoyote yenye injini ya GX100 ogopa sana.likifungua hata uwe na range rover v8 na uko spidi 200 itakupita kama umesimama na huku yenyewe imeandikwa spidi 180
Unafahamu vx v8?au range rover unakuja kulinganisha crown acha maskhara
 
1KD ni baraa D4D turbo nilitoka mwanza saa 11 jioni nikaingia Dom saa Tano usiku
niambieni na hii gari yetu landcruiser prado SKZ ENGINE DIESEL, alafu ni TURBO, niliifungua speed 140 hadi gari inapiga mluzi, na tyre zikitanuka kwenda nje,, nilivipita visubaru na vialtezza, kama napita baiskeli tu. sijui hiyo athlete crown kama ingenikamata kwa kweli.
 
1A83D55B-8A22-47C3-9527-2421690DF86D-2764-000002081038510A.jpg

vw toureg V8 version
 
Golf in balaa lingine. Sema mafundi bongo hawaziwezi watakuambia hizi gari mbovu sana
angalau kidooooogo sasa kuna mafundi kwa mbaali wanaanza zijulia hizo gari, ingawa nao bei zao mkasi! shida ya mafundi wengi hawajiendelezi kielimu, kwa mfano kuna video kadhaa ytube kuhusu kutengeneza germany cars pindi yanapoharibika ila lugha ya malkia nayo wengi inawashinda
 
Back
Top Bottom