Recent content by MtanzaniaMkereketwa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    @Zito Junior. Like ya Nguvu kwa post zake
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanaofanya kazi benki ni lazima wavae nguo fupi zilizobana mapaja na makalio?

    Hiyo inaitwa business tactics. Wanawake wale ni mauwa pale ndani kuvutia nyuki watengeneze asali.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

    Amina Mkuu. Ndo ujana ujanani
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

    2016 November iv nilkua na dem mmoja sasa bhn siku hiyo mama ake aliondoka na madogo siku hiyo walkua Shule. Demu akabaki mwenyew ndani, akanishtua nkaingia mjengoni. Ile tumeanza cha pili honi ya gari iyo mother anaita. Mother akahisi akaingia chumbani. Demu kanshtua faster nkazama...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa fedha atumbuliwa

    Eeeh bwana weee. Mm nkadhani Tanzagiza
  6. M

    JamiiForums Tanzania RTO Mstaafu anaswa na binti mdogo

    Kweli kabisa Mkuu. Dunia tambara bovu, chuki na fitina zimetafuna wengi na wengi wamewahukumu kwa mwonekano wa nje tu bila ata uchunguzi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afanya mabadiliko Baraza la Mawaziri. Mwijage na Tizeba nje, Waitara ndani

    Uraisi ni taasisi yenye makada wanaoifanya Idumu. Kazi yao ni kuhakikisha hakuna mtu anaekua kinyume. Kwa hiyo mtu kama bashite hawezi kung'olewa coz yy ni simba anaewinda na kuleta mawindo
  8. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afanya mabadiliko Baraza la Mawaziri. Mwijage na Tizeba nje, Waitara ndani

    Hapo ndo CCM asilia akina Nape, Kinana na wengneo roho zitawatoka. Hiyo inaitwa Tit for Tat au Quid pro Quo. Wapnzani ndani ya CcM
  9. M

    JamiiForums Tanzania RTO Mstaafu anaswa na binti mdogo

    Jaman tusiwe wepesi kuhukumu. Kwa mawazo yangu mm naona kesi hiyo ichunguzwe. Ck hiz fitina zimekua nyingi. Nani hakumbuki kesi ya babu seya ilivokua ?
Back
Top Bottom