Recent content by Mtanzania__halisi

  1. M

    Ndugu Rais, kama si halali Bodi ya pamba kuwa Dar, ni halali STAMICO kuwa Dar?

    Mada yako inaweza kuwa na mashiko, lakini ingekuwa vema zaidi kama ungefanya kautafiti kidoogo na kupitia establishment orders za mashirika na taasisi zote ulizozitaja ili ujue majukumu yake ni yepi. Otherwise unaweza kurupuka kumbe majukumu ya mashirika hayo yana toa hoja za msingi za...
  2. M

    Ndugu Rais, kama si halali Bodi ya pamba kuwa Dar, ni halali STAMICO kuwa Dar?

    Well said mkuu. Tena kwa herufi kubwa ili kuonyesha msisisitizo.
  3. M

    Muuaji wa Mwangosi na kafara za kisiasa

    Watu ni wanafki sana nchi hii. Aliachiwa wakasema na kulaumu sana, amefungwa na bado wanasema. Asante JPM, umepata urais muda muafaka. Ndani ya miaka kumi ijayo naamini wanafki watakuwa wamenyooka na kupungua sana hapa nchini
  4. M

    Village Community Bank (VICOBA) calling. Really painful

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]. Wanawake wa miaka hii ni shida sana. Ndo maana sometimes wanaume wanakuwaga na roho mbayaaaaaaaa sanaaa ni kuhit and run tu. Vicoba calling? Very fun
  5. M

    Ngo'mbe aliyekatwa mkia

    Sure, wanasiasa njaa wamezidi. Bora tu kawapa ukweli. Badala ya kutumikia wananchi wanaangalia maslahi yao. Ukweli utawauna, Ila pia ukweli ndio huo aliowapa wa mikia . Wakome kutangatanga
  6. M

    Rais Magufuli naye kashaanza kugawa tenda kwa makampuni binafsi ikulu?

    Well said, nchi imeishaliwa sana hii. Mwache Ngosha asimamie. Hizi tender za kutangaza zimelipatia hasara kubwa sana taifa. Mlioko serikalini na kwenye taasisi za serikali mnalijua hilo. Anayebisha ni yule ambaye tender hizo zilikua zinamnufaisha
  7. M

    Agnes Mkandya, DED Gairo ni nani?

    Well said bro. Ukabila hautupeleki kokote. Tumjudge MTU kwa utendaji wake. Tukianza masuala ya ukabila, udini au rangi hayatatufikisha popote. Kumbuka kuna wadau na naamini hata humu JF wamo ni mashabiki wa SIMBA damu na wqnachama wa CCM damu lakini Hawaogopi kuvaa njano na kijana kisa rangi...
  8. M

    Uzoefu wangu baada ya kuachana na matumizi ya smartphone/whatsapp

    Mkuu, nakuunga mkio. Kiukweli Watazania wengi wanatumia na kupoteza sana muda kwa kuchat kwenye whatsaap kwa mambo yasiyo ya msingi. Wapo wanaotumia kwa manufaa, ila kiasilimia hao ni wachache kuliko wale wanaotumia kuchat mambo yasiyo ya msingi Ishu muhimu hapa sio kuondoka apps hizo au...
  9. M

    Kwanini baadhi yetu hatuamini juu ya uwezekano wa Tanzania ya viwanda katika awamu hii ya tano

    Mzee unachokiona serikali ya JPM imekosea ni kipi hapo. Kutangaza hiyo nia au kuitaja hiyo miaka kumi? Mi naamini mwanzo ni mgumu. As far serikali hii imeonyesha hiyo nia tunachotakiwa ni kuamini na kuiunga mkono hiyo nia kila MTU kwa nafasi yake. Ni bora rais kaonyesha hiyo nia mapema maana...
Back
Top Bottom