Massenberg
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 1,173
- 1,370
Habari za weekend,
Serikali ya awamu ya tano imeingia kwa gear ya kwamba Tanzania ya JPM inakuja kuwa ya viwanda. Ingawa ni vyema kuwa na malengo katika uongozi lakini hii injili ya viwanda ina matatizo.
Tanzania ya JPM sana sana itakuwa ya miaka kumi; hakuna duniani na wala haijawahi kuwepo nchi iliyobadili mfumo wake wa uchumi katika kipindi kifupi namna hiyo. Kuitoa Tanzania hapa ilipo na kuifikisha kwenye uchumi wa viwanda utahitaji miaka si chini ya thelathini.
Nisichukue sana muda lakini hapa chini ni link ya makala inayozungumzia Ethiopia katika safari yake kuelekea kuwa kitovu cha viwanda barani Afrika. Ukifanikiwa kuisoma naomba ulinganishe na haya tunayoambiwa kuhusu viwanda kisha busara zako zikuongoze.
Ethiopia is on track to become Africa’s industrial powerhouse