Recent content by Mtanzania-2013

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ninapendwa na wasichana wawili, nifanyeje?

    Yaelekea huna msimamo wewe.....umeshindwa kujua nani ni zaidi? fikiri kwanza na jibu unalo....weka sifa zao kwanza
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume: Usithubutu kumsomesha mke, mchumba, mpenzi

    Labda ofisini kwako tu....usisemee watu kama wewe umekopa si wote wamekopa ndugu yangu.....
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanavyopenda kudanganywa

    Wanawake Wengi wakiambiwa ukweli anaona unamdanganya.....ukimdanganya anaona ndio ukweli.....hatari sana
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mchumba wangu ana matatitizo ya kizazi hawezi kuzaa, kumuacha namuonea huruma, nifanyeje?

    Usimwache muoe na tafuta mke mwingine pia umuoe kama wewe mwislamu uwe na wake wawili
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake hivi huwa mnataka nini haswa kutoka kwa wapenzi wenu?

    Miss Chagga nimekukubali mno....uko sahihi kabisa na wewe ni wife material kabisaaaaa...............uko vizuri
  6. M

    JamiiForums Tanzania Naweza kumuoa huyu?

    Huyo hakufai kaka achana naye....labda kama unataka uwe na presha kwenye ujana wako
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mwanaume: Oa anayekupenda, sio uliyemtengenezea mazingira akupende

    Wewe Madame S naona kama uko kimaslahi zaidi huyo jamaa yako akichacha unamtupia kandambili zake nje huko na dharau tele....Nini kilikuwa kinakuchanganya mpaka miezi sita hufanyi maamuzi?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mwanaume: Oa anayekupenda, sio uliyemtengenezea mazingira akupende

    Hahahahahahahaahah................nachanganya lugha zote kaka.....hiyo ilikuwa naonyesha msisitizo wa maada tajwa hapo juu............nimeelewa sana wa lugha zote
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mwanaume: Oa anayekupenda, sio uliyemtengenezea mazingira akupende

    Kaka umesema kweli kabisa....asante sana na wewe ni mwanaume wa ukweli......hiyo sentensi yako ya kiingereza ndio imenifanya nikuelewe vizuri...................
  10. M

    JamiiForums Tanzania TRA, huu ni uonevu!

    Hawa TRA hawana huruma na watanzania.....wana roho mbaya sana....kinachofanyika ni uhuni mtupu.....mengine wanatoa vichwani mwao......hawa jamaa wanajiona wao miungu watu.....
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ndoa ndoano, mcheki huyu Mjerumani alivyogawanya kila kitu nusunusu

    Duu...jamani watu tuna roho ngumu.....nafikiri huyu bangi inamuhusu sana
  12. M

    JamiiForums Tanzania Bye bye my Tanzania, bye bye my fellow members, truly gonna miss u

    Hahahahaha dogo acha ushamba ni mambo ya kawaida......Ingekuwa huko Ulaya na Marekani mambo mazuri basi tungewaona wabongo wengi wakija kuturingishia mambo yao mazuri ya kutoka huko majuu.....kaka kule maisha magumu sana ndio maana ndugu zetu walioko huko wanaogopa kurudi....Tembea uone mengi..
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kati ya mdogo wa marehemu mke wangu na mchepuko wangu nimuoe nani?

    Nakushauri uoe mdogo wa mke wapi itakupa relief kubwa sana kimaisha na kwa kiasi kikubwa atajitahidi kuwalea wanao kwa sababu hata yeye ni sehemu ya familia yako hata kabla ya kumuoa......ukimuoa ndio uhusiano utakuwa mzito wa wenye future nzuri............cha msingi acha pombe au punguza pombe
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wamembaka mke wangu, nimeona niachane nae tu

    Huyu mwanamke hamheshimu mumewe kabisa....
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni sahihi kwa mpenzi wangu kuniita mume wake?

    Jina zuri sana hilo ila inaonyesha wewe humpendi huyu dada.....kama vipi usimpotezee muda dada wa watu
Back
Top Bottom