Ninapendwa na wasichana wawili, nifanyeje?

Ninapendwa na wasichana wawili, nifanyeje?

Siku zote ukiona unapenda au kupendwa na watu wawili, siku zote chagua wa pili. Kwa nini!!!? Kwa sababu kama ungetosheka na wa kwanza usingetaka wa pili. Huyo wa pili inaonesha ndo unampenda sana may be hujagundua.
 
Yaelekea huna msimamo wewe.....umeshindwa kujua nani ni zaidi? fikiri kwanza na jibu unalo....weka sifa zao kwanza
 
kwa kuwa wewe ni mchaMungu my dear brother, piga goti chini na muombe Mungu akuonyeshe the right woman, He will answer you, just pay attention and listen
 
Humjui wakumchagua aisee ila yupo unaempenda usitunzungue
 
Mapenzi ya siku hizi yanashangaza sana. Kwani weye unampenda yupi? Mi nadhani mapenzi hutokea automatically, sio kwamba mtu unaamua mwenyewe kuwa hebu sasa nianze kupenda, anyway sijui....
 
Mapenzi ya siku hizi yanashangaza sana. Kwani weye unampenda yupi? Mi nadhani mapenzi hutokea automatically, sio kwamba mtu unaamua mwenyewe kuwa hebu sasa nianze kupenda, anyway sijui.... Nahisi huwapendi wote na ndo maana kuna mdau mmoja kakushauri uwapige chini wote.
 
Uliza wako chama gan...

usisahau kuwaambia kura zote kwa Edward Oct, 2015.
 
Mchukue unayempenda zaidi. Ishu ni wewe kumpenda sio yeye kukupenda
 
Mimi ni kijana mstaarabu sana, ni Mchamungu, pia mwenye kujali hisia za wanipendao na wanichukiao vilevile.

Naomben ushauri. Ninapendwa na kina dada wawili, wote wananipenda sana, tena sana tu ndugu zangu na ninahitaji kumpenda mmoja ili niwe na penzi la dhati kwa nitakaekua nae.

Thamani yao kwangu ni sawa na sipendi nimuumize hata mmoja kwa uamuzi nitakaochukua, nifanyeje?


Hivi siku
hizi wanaruhusu kutumia simu mashuleni?
 
muombe aliyekuumba hakika hatokuacha katika sintofahamu kama hiyo
 
Back
Top Bottom