usijaribu kusomesha mtoto wa mtu, wakati waliosomeshwa tayari wapo(ready made are widely available and cheap)! dont try this at home, school or anywhere!
kaka hatari kwelikwelimi stakijua kama ni sawa au laah ,ila nachojua nimesoma MNMA pale class la 2009 ,darasani tulikuwa 65 kati ya hao wanawake ni 24 wakiwamo mabikra wawili na wake za watu 7 walipigwa miti na watu si chini ya watatu(at minimum) ninaowajua mimi kwa miaka mitatu ,na waliomaliza napata habari wamekuwa wachepukaji wazuri maisha
diploma bado sana mpeleke university akapate degree uoneBwana wee! Mie nilioa mke wa darasa la saba Tanzania. Nikamleta hukt kwetu Kenya. Nikamwingiza tena shule darasa la 6 huku nikisaidiwa na wazazi wangu. Sasa ameenda hadi sasa hivi ana Diploma ya BA, na ameajiriwa na serikali. Kama ulipangiwa ni wako hata ukimsomesha atabaki kuwa wako.
I agree with you but.........Sioni kama kuna utofauti wa gari ya Mkopo na gari ya kununua cash kama wabongo wengi wanavyotafsiri wote wanalipa, kama gari ni randi 10000 iwe umenunua kwa cash au loan lazima utalipia hiyo randi 10000 tufauti ni yule aliyekopa atalipa kwa Instalments na mm naona siyo kitu kibaya.....Kuna siku niko bongo nikachomekea daladala konda akaniporomoshea matusi sogeza kigari chako cha mkopo, nikajiuliza swali kuna watu wanaoongoza kukopa hapa mjini kama/kuliko wafanya biashara wa daladala??asilimia kubwa yawaajiriwa kwenye private companies magari ya mkopo labda wafanya biashara
mkuu naongea kwa uzoefu labda kwa kuongezea QT ila sio vyuo vya maana maana wengi wanakuwa akili zimeshadumaa anajirahisisha kwa walimu na wanafunzi wenye akili ili afaulu, enzi nasoma nimekula sana hela za mama mmoja mke wa kigogo fulani akaona haitoshi akanitunuku na penzi,sio mimi tu wengi iliwatokea
I agree with you but.........Sioni kama kuna utofauti wa gari ya Mkopo na gari ya kununua cash kama wabongo wengi wanavyotafsiri wote wanalipa, kama gari ni randi 10000 iwe umenunua kwa cash au loan lazima utalipia hiyo randi 10000 tufauti ni yule aliyekopa atalipa kwa Instalments na mm naona siyo kitu kibaya.....Kuna siku niko bongo nikachomekea daladala konda akaniporomoshea matusi sogeza kigari chako cha mkopo, nikajiuliza swali kuna watu wanaoongoza kukopa hapa mjini kama/kuliko wafanya biashara wa daladala??
diploma bado sana mpeleke university akapate degree uone
tofauti hakuna unajua mishahara yetu mpaka usave ifikie milioni 10mununue gari kwa cash toka kwenye savings si mchezo so mikopo inatusaidia na sio kitu kibayaI agree with you but.........Sioni kama kuna utofauti wa gari ya Mkopo na gari ya kununua cash kama wabongo wengi wanavyotafsiri wote wanalipa, kama gari ni randi 10000 iwe umenunua kwa cash au loan lazima utalipia hiyo randi 10000 tufauti ni yule aliyekopa atalipa kwa Instalments na mm naona siyo kitu kibaya.....Kuna siku niko bongo nikachomekea daladala konda akaniporomoshea matusi sogeza kigari chako cha mkopo, nikajiuliza swali kuna watu wanaoongoza kukopa hapa mjini kama/kuliko wafanya biashara wa daladala??
lazima wataliwa tu maana hamna namna nasema waliwe,we mtu umemaliza mika 10 hujagusa kitabu halafu unakutana na hesabu za intergration lazima utaliwa na viserengetiMzumbe wanafunzi wa A'level wanakula sana wanawake watu wazima kisa kufundishwa hesabu.
lazima wataliwa tu maana hamna namna nasema waliwe,we mtu umemaliza mika 10 hujagusa kitabu halafu unakutana na hesabu za intergration lazima utaliwa na viserengeti