waoga tu wamepiga wanawake na watoto wangekuwa kweli wanataka mapambano na
waliofanya tukio wangeenda ule muda walipokosewa wawakute waliofanya tukio mnapiga watu saa 5 usiku wahalifu washaenda zao road.
Katika maisha yangu mwaka huu
ndio kwa mara ya kwanza nikiingii mwaka mwingine nikiwa sina kazi ya aina yoyote ya kuniingizia kipato mwaka mpya huu umekuwa wa majonzi sana maana nilikuwa nnafanya kazi kampuni binafsi kutokana mambo ya kampuni kuyumba tukapunguzwa baadhi basi tangu
nipunguzwe...
hila kukiwa na ngoma mtaani kwenu wakifunga maturubai barabaranii hulalamiki sababu unaona miuno na shanga hila kuswali hata nusu saa haifiki roho inakuuma.
Bi mkubwa azam tv ikiisha hela hata tbc hataki kuangalia anasema bora asikilize radio na huyo ni muhenga lakini hataki hata kuiona hyo tbc sasa kwa vijana inakuwaje
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.