Tecno spark k7 na k9 balaa lingine kutoka tecno

Tecno spark k7 na k9 balaa lingine kutoka tecno

Tecno ni mkombozi kwa kizazi hiki. Tukumbuke watu wa hali ya chini wana farijika na Tecno kuanzia zile za Batani hadi kupangusa. Bila ushindani huu sidhani kama Makampuni makubwa wanhelikua wana shusha bei sim zao. Tacno mkombozi Africa na Tanzania kiujumla.
 
Mkuu Bora Nyani (Infinix) kuliko huyo kima (Tecno)
Yeh kuna li infinix note 4 analo shemeji angu nmeicheki ipo vizuri hata graphics zake zinavutia. Ile optimization yao ya XoS ni nzuri kuliko ile HioS ya tecno
 
Tecno ni mkombozi kwa kizazi hiki. Tukumbuke watu wa hali ya chini wana farijika na Tecno kuanzia zile za Batani hadi kupangusa. Bila ushindani huu sidhani kama Makampuni makubwa wanhelikua wana shusha bei sim zao. Tacno mkombozi Africa na Tanzania kiujumla.
Sanaa mkuu
 
Ni kweli mkuu, mimi natumia Tecno Cammon CX Air, ni best phone kwa matumizi ya kawaida ukilinganisha na bei, lakini haiondoi ukweli kwamba Tecno specs zao siyo reliable, ndo maana GSM Arena hataki kuwajadili.
Hiyo sh ngap Mkuu
Na sifa zake n zp
 
endelee na ulimwengu wenu uo# mimi nlikua na samsung note 3 nkabadili niko iphone 6 najipiga nipate iphone 8+ au x...techn n simu ambazo sitakuja tumia..maisha yangu yote...sijui nazionaje
Shida Hujui Kipato Changu Cha Siku week Mwez Mwaka

Kiviere Wa Usangi
 
Back
Top Bottom