Kigogo sio mtu mmoja ni group la watu tofauti tofauti, aiwezekani mtu mmoja kujua mpaka mambo ya Nikki wa pili, mke wake kupelekwa Wista’s Inn,taarifa za hali ya ugonjwa wa Hayati Magufuli,yaani yeye kila kitu anakijua hapana siamini kama ni mtu mmoja anayeendesha hiyo show,litakuwa kundi la...