Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 31,272
- 31,393
Uwe unaelewa... siyo kwamba mimi wa Namtumbo nijue kuugua kwa mkuu wa wilaya ya Karagwe, hapana, unless otherwise, kiofisi namuhitaji, then ntaambiwa anaumwa.... KILA MMOJA ANATAKIWA AJUE MTU WA ENEO LAKE ANAUMWA HASA KAMA KUNA INTEREST FULANI NA MUHUSIKA...Wewe huwa unameleza mmeo siri zako zote kwakuwa alikulipia mahali au baba yako aliyekisomesha huwa unawaambia matumizi ya pesa yako?
Kama swala ni kodi je watumishi wa serikali wanaolipwa mishahara nao mnahaki ya kujua matumizi ya kodi yenu
Usiwe mtumwa wa kila unachosikia na ushabiki wa kimtandao kwa vile huonekani
USISAHAU KUNA MWINGINE ENEO LAKE NI KIJIJI, wilaya au mkoa. MWINGINE ENEO LAKE NI KWENYE MIPAKA YA NYUMBA YAKE.... ILA KUNA MWINGINE ENEO LAKE NI MIPAKA YA NCHI... HIVYO WALIOMO NDANI YA NCHI HIYO WANAPASWA KUPEWA TAARIFA... AU KUMUONA KAMA WANATIA SHAKA
Hawezekani taarifa wawe nazo watatu tu ( PM, balozi wa Tanzania huko Namibia na Makamu wa Rais, WAKATI NAO SI MADAKTARI) kati ya watu 55 milioni