Kuchapiwa unachapiwa tu haijalishi....kikubwa usijue ..awe mbali au awe karibu bor usijue na muwe salama..vitu vingine vigumu kuvi handle na ukivifatilia ndo unasababisha kupoteza vingine zaidi...so cha msing trust yourself no body is trustfull.....
Mafanikio yanaitaji watu, ila watu haohao ndo tatizo katika mafanikio!
Utafanya yote, ila kamwe usifanye jambo kwa vile Fulani anafanya au fulani hajafanya!!!
We kam unafikiri kufanikiwa kwa Mwana FA mafanikio yake yapo kwa mgongo wa wakongwe au wasafi basi nutasubiri!!!
Kweny harusi tu...
Et mara waganha, mara freemason, mara ccm......hivi hao waganga wasanii wengine hawawaoni? Na nenda kaangalie viewer wa diamond kam utakuta ccm tupu bu th? way we wenyew unaesema koz yupo ccm umeangalia n'a unamsapoti je n'a w? ni ccm? Au wasanii wengine si ccm? Hapo vha msingi ni kujituma...
Tatizo vichwa vya wabongo wengi vimejaa moshi hususani team kiba,,, hivi we unaetaka wimbo wa hisia, uhamasishaji, na huzuni kam huo afu ucheze sundaes.kumheuza dadako mkeo? We brow kichwa vumbi mbona nagharamia kapuni na haichezeki? Si kila nyimbo za kucheza sawa kaka!!! Diamond ni mwanamziki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.