Jamani kama mtanzania nimejisikia fahari sana kumuona Ali Kiba akihojiwa BBC Televison katika kipindi cha Focus on Africa huku akisifiwa kama Bongo Flava Star aliyefanya kazi na magwiji kama R. Kelly.
Ila to be frank ' me naona kwa TZ yeye ndo mwanamuziki aliyokamaa na nyimbo zake zinaweza kusilizwa hata na watu makini.
Ila to be frank ' me naona kwa TZ yeye ndo mwanamuziki aliyokamaa na nyimbo zake zinaweza kusilizwa hata na watu makini.