CCM hata mkitulipa walimu madeni sie ni mabadiliko tu

CCM hata mkitulipa walimu madeni sie ni mabadiliko tu

gps boy

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2015
Posts
447
Reaction score
65
Serikali ya CCM imekula wa chuya kwa kujifanya eti kutulipa madeni ya walimu wakidhani watatushawishi tuichague CCM.

Wanachotakiwa kutambua ni kwamba malipo ni haki yetu na sio msaada maamuzi ya kuchagua mabadiliko tumeshaamua. hivyo kura zetu ni Lowassa.
 
Hata YESU alijua mwalimu n'a hakulipwa so ni kawaida!!!!!! Wé piga usipige hapa hata kwa bao la nyuma tunakupiga..
 
Back
Top Bottom