Recent content by Mtu na nusu

  1. Mtu na nusu

    Awesu Awesu wa KMC ni bonge la mchezaji (playmaker) viongozi wa Simba SC anzeni mchakato wa kumchukua

    Nakumbuka nilitoa ushauri kama huu kabla Mudathir Yahya hajasajiriwa Jangwani. Ukimtoa Triple C pale Msimbazi hakuna playmaker mwingine kitu kinachoifanya timu icheze mpira mgumu usioeleweka. Awesu Awesu ataifaa sana timu kwani ni bonge la playmaker. Kazi kwenu viongozi.
  2. Mtu na nusu

    Viongozi Simba SC mchukueni Mudathir Yahya wa Azam FC

    Nakumbuka nilipuuzwa nilipotoa huu ushauri
  3. Mtu na nusu

    Tujikumbushe Walimu wa sekondari waliokuwa wakali sana kiasi cha kuwa maarufu hadi shule zingine

    Mwalimu James okwera Sengerema sec school 2016 Huyu jamaa alikua ni ntu ya kazi
  4. Mtu na nusu

    Tusaidiane ushauri wa kitaaluma Kwa huu ufaulu

    CIV - 'C' HIST - 'D' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'D' CHEM - 'C' BIO - 'D' B/MATH - 'F' Kuna haja ya advance? Kama ni chuo kozi ipi itamfaa?.
Back
Top Bottom