Awesu Awesu wa KMC ni bonge la mchezaji (playmaker) viongozi wa Simba SC anzeni mchakato wa kumchukua

Mtu na nusu

JF-Expert Member
Jan 9, 2020
636
1,115
Nakumbuka nilitoa ushauri kama huu kabla Mudathir Yahya hajasajiriwa Jangwani.

Ukimtoa Triple C pale Msimbazi hakuna playmaker mwingine kitu kinachoifanya timu icheze mpira mgumu usioeleweka.

Awesu Awesu ataifaa sana timu kwani ni bonge la playmaker.

Kazi kwenu viongozi.
 
Daah Timu ya Taifa huyo anatakiwa acheze wapo wengi hawafikii kiwango chake kwa wale viungo ndio nilikua najiuliza huyu Awesu atakua sio Raia haiwezekani kwa kiwango kile asiitwe National Team..
Awesu kama majogoro yule aliyetimkia uko kusini mwa afrika anapanda shuka nyingi, nafikiri ndio sababu vilabu vikubwa vinasita kumchukua .
Japo kweli jamaa anajua mpira aisee.
 
Nakumbuka nilitoa ushauri kama huu kabla Mudathir yahya hajasajiriwa Jangwani.

Ukimtoa Triple C pale Msimbazi hakuna playmaker mwingine kitu kinachoifanya timu icheze mpira mgumu usioeleweka.

Awesu Awesu ataifaa sana timu kwani ni bonge la playmaker.

Kazi kwenu viongozi.
kwa mechi zipi ndugu? Huyo anacheza jihadi kwa mechi za Yanga na Simba tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom