Recent content by mtakatifu mam

  1. M

    Ubaguzi CHADEMA waanza kumea mpaka kwenye UKAWA

    ubaguzi sasa ni upi hapo wakati vyote ni vyombo vya usafi ri, au mawazo yako yanakupelekea kuona kuwa chopa ni bora kuliko gari kwa kuwa inapita angani. Ndg. yangu chopa ni shida bora ya gari maana ni usafiri wa kwenda kwenye maeneo yasiyo fikika kwa gari. Lazima utanbue kuwa aliyepewa chopa...
  2. M

    Lukuvi Awalipua tena UKAWA Bungeni Dodoma

    Haya ni mawazo ya great thinker au simple thinker!!!
  3. M

    Alphonce Mawazo: CCM hawaamini kama tuna akili.

    abakorakamo, mbona upo kila sehemu muda c mrefu umejiita mwana arusha na kusema mnataka serikali 2, sasa hivi unahiita mwanageita, tukueleweje sasa ww mhaya! au ndo hiyo tabia ya kuwavalisha wanachama wenu nguo za upinzani na kuwapatia kadi za upinzani kisha kuwataka wazirudishe eti wapinzani...
  4. M

    CCM Arusha: Lema amelipotosha bunge kuhusu Arusha

    mbona unaandika mwenyewe kila kitu? unajiuliza swali na kujipa majibu. kama lema aliyechaguliwa kwa kura nyingi na watu unasema msimamo wake si wa wana arusha, ww unapata wapi mamlaka ya kusema kuwa arusha wanataka serikali 3.
  5. M

    Ph.D holders kuongozwa na form 6 failure - Shame on you!

    sidhan kama ww pia ni msomi kwa kuwa akili yako ni ndogo ya kujadili watu badala ya maswala, you might be having a dulla brain which need learning by analogy. unatukuza uzungu (formal education) na kusahau imformal na non formal kuwa nayo ni elimu tena kubwa. inakubidi ufahamu kuwa kushindwa...
  6. M

    Mbowe: Mrema, Cheyo nje Baraza la Mawaziri

    jaman mbowe hajamtaja mtu amesema atavunja baraza la sasa na kuunda jipya kuwashirikisha ukawa ilo la kumwita njinga kwa sababu ya mrema mwalitoa wapi?
  7. M

    CCM tusiende tena kwenye Midahalo

    CCM siku zote hawajawahi kufanya vizuri kwenye midahalo tangu ule wa urais wa 1995 wakiwakirishwa na mzee mkapa ulioongozwa na mzee Simbeye. lakini pia hiyo ndo taawira halisi ya viongozi wanao liongoza taifa hili ndo maana hata katika bunge hoja zao ni hafifu sana na mwisho kuishia kulazimisha...
  8. M

    Tundu Lissu Pemba: ''Aipasua Kokwa' Jinsi Tanganyika ilivyo inyanganya Zanzibar Mamlaka yake

    Tatizo watanzania ni wavivu sana wa kusoma ndo maana tunakuwa mbumbumbu, kwani kati ya yote aliyo yasema Lissu la uongo ni lipi elezeni kwa utafiti. Yote yameandikwa na tumeyasoma miaka mingi, tatizo mnapenda sana kurely kwenye mambo ya kuelezwa kuliko kufanya utafiti library fuatiliene badala...
  9. M

    Tulijadili hili la James Mbatia kwa kina kwa maendeleo ya taifa letu

    Mbatia ni mfano wa viongozi bora wenye fikra huu na strong anayetetea anachoamini ni sahihi, si mlamba viatu vya boss eti kwa sababu kamteua na wote wenye ubongo safi ni lzima wawe kama mbatia.
  10. M

    Mmoja auawa kwa risasi na watu wanaodhaniwa kuwa majambazi - Mataa ya Airport

    Lazima atakuwa alikuwa na nyaraka za siri kuzipeleka CHADEMA akashutukiwa ndo maana kauwawa.
  11. M

    CCM wamtua zigo Spika Kificho... Ni baada ya kuweka wazi Msimamo wake ni wa SERIKALI MBILI!!!

    Kificho ni serikali tatu sema CCM mmemtisha yeye na Wazanzibar wengi ambao matakwa yao ni serikali 3.
  12. M

    Kigwangala na timu yako - zungukeni mikoani ila hamtamuweza Lowassa

    Ninyi watu CCM c wamewapiga marufuku ni hizo kampaini zenu au muda wa korokoroni umekwisha acheni hayo mambo hadi february mwakani kwa nn hamna utii kwa chama chenu au ni kutaka kuwachafua watu ili wazuiwe kugombea urais? acheni uchochezi huo.
  13. M

    Wanajeshi watoa kichapo mandela road

    lazima serikali iseme kitu juu ya uonevu huo, pia aliyepigwa aishitaki serikali alipwe fidia kumbuka hakuna aliye juu ya sheria.
  14. M

    UKAWA busara kurejea bungeni kutetea watanzania mnaowawakilisha

    UKAWA wapo sahihi kabisa maana wakati mwingine ili mambo yaende mbele katika njia iliyo sahihi ujasiri na uamuzi mzito unatakiwa. Rasmu imeisha letwa watu kwa matakwa yao wanataka kyibadilisha kuweka ya kwao kinyume na matakwa ya wananchi, sasa wabaki bungeni kujadili nn wakati tayari...
  15. M

    Anguko la CHADEMA lipo njiani

    umenena vema ndg yangu, ni lazima CDM watengeneze kanunu za kuwafanya wanachama na viongozi waheshimu na kuamini katika itikadi ya chama. Pia, wajengewe msingi wa uvumilivu badala ya kuamini katika urahisi wa mambo ma kuwa na tamaa ya uongozi, wajue fika kukiondoa chama dola kama CCM kilicho...
Back
Top Bottom