kamanda umejichanganya kidogo , rudia tena kusoma post ya huyo jamaa , ni kamanda wa ukweli sana .
ni kamanda kama mimi? Teh teh teh
kamanda umejichanganya kidogo , rudia tena kusoma post ya huyo jamaa , ni kamanda wa ukweli sana .
Hoja yako hapa ni ipi? Kama kawaida yenu hamuwezi kujibu hoja mnaishia kwenye mipasho na vioja. Mwenzenu Werema kaumbuka bungeni kwa kauli ya kipuuzi ya kuwabagua wazanzibari hadi kaomba akiinamisha kichwa chini kwa aibu.
mawazo ubunge utausikia redioni tu...wana geita tumeshakugundua wewe ni tapeli
Waliyo mchagua mawazo kuwa mwenyekit labda ni vichaa Kama yeye
Alafu mawazo unapost na kukoment mwenyewe shida kweli
abakorakamo, mbona upo kila sehemu muda c mrefu umejiita mwana arusha na kusema mnataka serikali 2, sasa hivi unahiita mwanageita, tukueleweje sasa ww mhaya!
au ndo hiyo tabia ya kuwavalisha wanachama wenu nguo za upinzani na kuwapatia kadi za upinzani kisha kuwataka wazirudishe eti wapinzani wamejiunga na ccm.
kamanda umejichanganya kidogo , rudia tena kusoma post ya huyo jamaa , ni kamanda wa ukweli sana .
mama wa arusha baba wa geita...
Na wewe wa Mtwara au siyo?
mawazo changudoa wa siasa aliewasaliti wana sombetini kwa uroho wa pesa na madaraka,...wana geita wameshamgundua mawazo ni kibaraka, tapeli na mnafiki wa hali ya juu...
mshamba wewe unayeshabikia chama chakavumawazo changudoa wa siasa aliewasaliti wana sombetini kwa uroho wa pesa na madaraka,...wana geita wameshamgundua mawazo ni kibaraka, tapeli na mnafiki wa hali ya juu...
Waliyo mchagua mawazo kuwa mwenyekit labda ni vichaa Kama yeye
Alafu mawazo unapost na kukoment mwenyewe shida kweli
mawazo changudoa wa siasa aliewasaliti wana sombetini kwa uroho wa pesa na madaraka,...wana geita wameshamgundua mawazo ni kibaraka, tapeli na mnafiki wa hali ya juu...
Hii ndiyo sura halisi ya ACT... upande mmoja ni CCM na upande mwingine ni ACT... LAKINI ni kundi lilelile la WASALITI.... Kitila aliwaagizeni hivi:Waliyo mchagua mawazo kuwa mwenyekit labda ni vichaa Kama yeye
Alafu mawazo unapost na kukoment mwenyewe shida kweli
Hata hivyo, ni muhimu kukumbushana kwamba wenzetu hawatanyamaza kwa sababu eti sisi tumeacha kuwashambulia kwenye mitandao ya kijamii. ..........
Pia tutahakikisha kila post ya kumchafua inapatiwa majibu bila kutumia ID yake inayojulikana. Ni vema aidha akatupatia majibu na sisi kuyapost ama afungue ID mpya kabisa ambazo hazijawahi kuwepo kwenye mitandao halafu ndo awe anazitumia kujibu lakini kwa kuzingatia tuliyokwishayazungumza hapo juu yaani kutofanya kwa emotion na kuepuka jazba lakini pia kushauriana na watu wa karibu kabla ya kutoa majibu kwa jambo lolote linalomhusu.
abakorakamo, ni mfuasi wa Zitto, shabiki wa ACT na CCM? Asiyependa kuona mafanikio ya makabila ya kaskazini!abakorakamo, mbona upo kila sehemu muda c mrefu umejiita mwana arusha na kusema mnataka serikali 2, sasa hivi unahiita mwanageita, tukueleweje sasa ww mhaya!
au ndo hiyo tabia ya kuwavalisha wanachama wenu nguo za upinzani na kuwapatia kadi za upinzani kisha kuwataka wazirudishe eti wapinzani wamejiunga na ccm.