Recent content by Mtakanuhu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akamilisha matibabu sasa hana sababu kuendelea kuishi ughaibuni

    Niliwahi kumsikiliza mzee mmoja yule aliyetaka kununua nyumba za Lugumi then akaanzishiwa zengwe ... Aliulizwa hivi "unapenda kuishi wapi?" Jibu lake lilikuwa na maelezo mengi lakini undani wake kwa ufupi ilikuwa hivi .... Nikiwa nyumbani nasumbuliwa hadi kutishiwa kufungwa au kuuawa; nikiwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nimefanikiwa kutoroka

    Kama huwezi kufikiri - huwezi elewa lolote.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Iliwahi kukutokea?

    Mmoja ndo ilikuwa first day kuonana naye. Huyu mwingine ninaye siku nyingi tu!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Iliwahi kukutokea?

    Sasa kama wanajuana walitaka nini?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Iliwahi kukutokea?

    Haya! nimekusoma mkuu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Iliwahi kukutokea?

    What do you mean?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Iliwahi kukutokea?

    That is nimeuliza - imewahi kukutokea?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tulioacha kunywa pombe 2019 tukutane hapa

    Mi naweza nikaacha hata kwa mwezi mzima ila baadaye kampani yangu tukianza kutembeleana nashtukia nakunywa tena.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Iliwahi kukutokea?

    W/end imeisha ila ... Nikiwa nimekaa sehemu nachart na binti ambaye kiukweli tumekutana fb; tukapeana namba za simu - tukapanga kuonana J.pili. Wakati naendelea kuchart naye ... mara mpenzi wangu akanipigia simu na kunambia kuwa anataka tuonane kuna jambo anahitaji kunishirikisha. Nikamruhusu...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mnaoenda kununua vitu Zanzibar na kuleta Bara kuweni makini, kodi yake si ya kitoto

    HIli tuliweke sawa .. Ni yapi mambo ya Muungano na ni yapi si mambo ya Muungano? Hivi inawezekanaje nikanunua kitu Mwanza kukisafirisha kwenda Bukoba nikatozwa kodi?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Madhara saba kwa wanaume waopenda kufanya mapenzi

    Ichukulie kama fursa; najua ukubwani wengi watakuwa wanajiharishia. Hivyo kitengenezwe kiwanda cha nepi za wakubwa! Ushauri; elimu hii itolewe toka chekechea ili watoto wetu wakue wakijua kwamba huo mchezo ni mbaya sana. Tunawaacha watoto wanachezeana hadi wanazoea alafu tunakuja kuwazuia...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nimefanikiwa kutoroka

    Wachache watakaonielewa ... ila kiuhalisia ni kwamba kuna umri fulani viongozi wetu wanakuwa kama wamevishwa kofia ambapo maamuzi yote yanatokana na hizo kofia. Hawatumii fikra zao kisawasawa! Ukifanikiwa kutoroka kule wanapowavisha watu kofia unakuwa na uhuru wa kifikra. Hivi tutaendelea...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu MwanaJF mwenzetu Tutor B

    Hapo kwenye bold ... uko sawa kabisa!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu MwanaJF mwenzetu Tutor B

    Nimefuatilia post za wachangiaji wote nimegundua kuwa kuna watu wanafikiri staili ya maisha yao ni sawa na wengine. 1. Wapo wanaosema kuwa kama aliweza kutuma sms alishindwaje kupost mwenyewe? sio simu zote zina uwezo wa kuingia JF 2. Mara hoooo tapeli ... hapa kweli kuna mtu wa kutapeliwa kwa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu MwanaJF mwenzetu Tutor B

    Mbona imekuuma sana! au mna chama cha kuchangiana misiba na ukizingatia hali ilivyo ngumu ulikuwa umeisha waza wapi pa kupata hiyo michango??? Pole sana!
Back
Top Bottom