Mzeelapa, kweli inaelekea tumelala usingizi mkali...wanajaribu kutuamsha lakini wapi...tupo fofofo. Kwa kuongezea kidogo hayo uliyoyasema, waKongo wanapenda sana kusikiliza idhaa zetu za kiswahili. Pia wageni wengi wanaofika Tanzania, hata kwa utalii tu, wanatamani kujifunza Kiswahili haraka ili...