Recent content by mtaalam.

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mbwembwe zote za Diamond na Number one ...kumbe hakuna kitu!!

    -------- inatakiwa aachwe na upumbavu wake, apo mko na pumbu zenu tu hamna ata kumi mnakaa ku hate kifalafala tu, kijana yuko juu na anazidi kumake headlines na ataendelea kua hivyo, mabwege mnakaa na vijikundi vyenu ata muandike nn kama ndio inabaki kuwa ndio tu mtabaki vichwa chini mambwiga nyie
  2. M

    JamiiForums Tanzania Utajuaje kuwa unachoangalia ni filamu ya Bongo

    halafu kiuhalisia hakuna part two, ni cd one and two, ili mnunue mara mbili kudadeki, maana part 1 inapoishia ukicheki part two inaanzia hapo hapo, adi nguo wamevaa zile zile, bora wangeziita tamthilia tu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Shuhudia Babu Seya Na Papii Kocha Wakitoka Jela

    imotions ndio zimewajaa wabongo> wanaishia kulalamika kidown down, kama kulikua na mwenye ushahidi hawajabaka angejitoa mhanga akasimama front, bt kwa ukunguru wetu kila mtu anakaa kimya af mnakuja kulalamika kwenye forums like this, mfano hai ni watu wanauliza hapa nini chanzo.. hakuna anaetoa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

    muanzisha thread cjui kama alikua na nia gani, au alitaka nini hasa, all in all sidhani kama huu ni mda wa kumjadili marehem kiaina hiyo, tuwe wastaarabu kama binadam, nobody is perfect so kama alifanya mazuri, yaige, yale mabaya tupilia mbali, sio kuanza kuongea unafiki na upuuzi, na rumous..
  5. M

    JamiiForums Tanzania Window is not genuine

    mh, naona kwangu na hii remove wat inadunda, niki restart comp kitu pale pale!
  6. M

    JamiiForums Tanzania tiGO mnatufukuza wateja wenu bila kujijua

    tigo ni noma, jamaa wanaendesha kampuni kihuni kweli, cjui vas na it dep. Wanasimamiwa na nani!!!?????!!!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Bow Wow kwa kafunuka ana mtoto ila grammar dah!!

    yuko dunia ya kikuda hajawa xposed!!!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wasanii THT waalikwa na Usher USA

    wabongo sisi kama kawaida yetu ni kukandiana tu, hakuna anaekubali mwenzake akienda angalau step ahead kidogo..tutafika kweli????
  9. M

    JamiiForums Tanzania PICHA: Wema na Diamond live bila chenga

    ha ha, ndomo una raha yake!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Jackson Mbando tueleze - TIGO uliondoka kwa hiari au kutimliwa?

    wamepiga sana pale, iv been there, kuna kitimtim cha nguvu so sishangai kijana kukimbia kabla jumba bovu halijamuangukia
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwako Kibonde (Clouds FM)

    lakini pia hii ni njia ya yeye na clous fm kwa ujumla kupata habari hii...gadner amepata dili kwingine au?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Muziki: Hivi umbo la mwanadada Besta ni mchina au...!?

    mh jamani hata wa darasa la tatu anajua futi tatu ni urefu gani...do research kabla hujapost comments humu...tehe tehe
  13. M

    JamiiForums Tanzania Bhoke na kurudi kwake kutoka BBA

    kadem kaboovu, kakafikiria kakikamuliwa mbele ya kadamnasi ya waafrika ndio katapata nafasi ya kukaa zaidi....yaani huyu mtoto ni bonge la bwegez
  14. M

    JamiiForums Tanzania Movie Stars

    ha ha, wanaopenda muvi za bongo basi lazma wapende na za ki nigeria, na mara nyingi unakuta wanaozipenda ni waporipori
  15. M

    JamiiForums Tanzania Totozi za Kihabeshi moto

    duh c mchezo, totoz kali kweli hizi
Back
Top Bottom