Movie Stars | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Movie Stars

Discussion in 'Jamii Photos' started by mchonga, Apr 20, 2011.

 1. mchonga

  mchonga JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 1,250
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
   
 2. mchonga

  mchonga JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 1,250
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Wabongo hao
   
 3. luckyperc

  luckyperc JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 496
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  wananita kichefuchefu 2 katika movi zao
   
 4. Bhbm

  Bhbm JF-Expert Member

  #4
  Apr 20, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 716
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Covers za dvd zao huwa zinavutia sana but ukiangalia movie ndani ni utumbo mtupu, sifa nyingiiiii but kujituma na kuwa na ufanisi ni zero. BONGO HOVYO kuanzia siasa mpaka sanaa lol
   
 5. n

  nyuki dume JF-Expert Member

  #5
  Apr 20, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 438
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Umenena.Nilifikiri nipo pekee yangu,
   
 6. LivingBody

  LivingBody Senior Member

  #6
  Apr 20, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 166
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mimi hizo movies zao huwa zinanitia kichefucheku tu
  maana ni ngono mpaka mwisho
   
 7. ALLEX

  ALLEX JF-Expert Member

  #7
  Apr 21, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 2,046
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Sizipendi but huwa utalazimika kuangalia ukiwa safarini. Hawana jipya........
   
 8. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #8
  Apr 21, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,155
  Likes Received: 3,353
  Trophy Points: 280
  Mitoto ya ukweli.
   
 9. m

  mtaalam. Member

  #9
  Apr 21, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ha ha, wanaopenda muvi za bongo basi lazma wapende na za ki nigeria, na mara nyingi unakuta wanaozipenda ni waporipori
   
 10. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #10
  Apr 21, 2011
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Mkuu unafanya makosa kuziponda movies za kibongo pamoja na wale wanaoziangalia, kumbuka wewe ni mtanzania na utabaki kuwa mtanzania hata kama utapenda movies za ulaya na marekani au hata kama ukibadilisha uraia bado wewe ni mtanzania.
  Kwa mantiki hiyo wewe una mama, mama wadogo na wakubwa, wajomba, baba, baba wadogo na wakubwa, mashangazi n.k, mimi ninaamini huwa wanaangalia movies za kibongo na wanazipenda, je ni sahihi kuwatukana kwa kuwaita 'waporipori'?

  Nafikiri uache hiyo kasumba na badala yake toa maoni jinsi ya kuboresha hizo bongo movies ili watanzania na afrika tusonge mbele maana hiyo ni ajira wa watanzania wenzio ambao unawatukana
   
 11. B'REAL

  B'REAL JF-Expert Member

  #11
  Apr 21, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 3,108
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  tuwaponde ilaaa wazuriiii banaa..i like that cover ya movie
   
 12. Gezus

  Gezus Member

  #12
  Apr 21, 2011
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 99
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  it can be a horse, a rat or a monkey, shit will always be shit...
   
Loading...