Totozi za Kihabeshi moto

Totozi za Kihabeshi moto

Hizo Totoz za kihabeshi hazitusumbui sisi visura wa Tanzania tunajitambua :hand:
Hii ni picha yetu ya pamoja na MJ1 tunabadirishana mawazo Preta wamemkata hapo pembeni no mkorogo mafuta yetu ni samli tu
two-maasai-women-dscn0224.jpg
 
Think of life without women, no women no cry!
 

Attachments

  • 185495_HI3.jpg
    185495_HI3.jpg
    41.5 KB · Views: 198
  • 185494_hi2.jpg
    185494_hi2.jpg
    42.1 KB · Views: 169
Achaneni nao hao most of them are either prostitute or housemaid in Dubai....hata mange nae anaye, nchi ile wasomi wachache na maendeleo kwao ni matatizo no matter how they pretend to to be smart or better than bantus.
 
Hawa asili yao wanakuwa kama machotara kama vile wasomali, they're not reffering themselves as pure africans with dark skin. Sasa wewe mmatumbi unawataka hao na dada zenu nao wataolewa na nani, frankly they look down on black africans mostly are married to whites or if you have money if you know what I mean!

Sasa achane upumbavu wa kutaka vya kung'aa nyinyi ndio sababu ya dada zetu wa kibongo kujichubua.


Tatizo wa kwetu wanapenda vibau vya kidhungu
 
Beauty is in the eye of the beholder. Mimi sioni kitu hapo, wote ni polygons!!!
 
Huyo wa kwanza hapo juu anaitwa yasientah ashenafy
anaye mfuatia anaitwa batuegesh gabreselas
anayemfuatia anaitwa azeizah magrebush

Du! ni warembo kweli, kumbe unawajua hadi majina yao
 
me naonaga wenyewe wanachukua hawa wa kewetu, sasa na sisi tuanaruhusiwa kuwachukua hawa wa kwao kwani??
 
Beauty is in the eye of the beholder. Mimi sioni kitu hapo, wote ni polygons!!!

Ndio maana huoni ndugu yangu Mwanamayu, wahenga wanasema " Beauty is in the eyes of the beerholder" You will see the difference after reading my thread and holding a beer.
 
Achaneni nao hao most of them are either prostitute or housemaid in Dubai....hata mange nae anaye, nchi ile wasomi wachache na maendeleo kwao ni matatizo no matter how they pretend to to be smart or better than bantus.

Acha kuhate wewe! Give credibility where it is due. Tanzania yetu yenye wasomi iko wapi kimaendeleo? Learn to love and appreciate others. The fact is Ethiopians are beutiful. Eti ni Prostitutes? My foot! wale wanaoshinda Kinondoni Jollies, Kili time..ni wahabeshi? in short just know...uhuni ni mtu binafsi..I would be grossly offended kusikia mtu anasema eti wasichana wa kitanzania ni wahuni/malaya..simply because he/she met some kwenye street wakifanya biashara....

Next time you should do better than this.
 
Every woman is beautiful, what matters ''ankara'' halafu sehemu ya msingi na muhimu inafanana!mi ningeona picha ya sarah ambae biblia inashuhudia alikua mzuri huyo ndo angekua ''bench mark ya kupimia wengine''. Ukweli sijaona uzuri wao
 
Totoz za Kihabeshi ni swaafi sana. Aliyesema hakuona mlango wa Ikulu ni mrongo..Labda alikumbana na Wa-Yemeni..! Pia, hawana
ubaguzi kama ilivyoelezwa na mnjemba mmoja. Ukweli, wao ni kama vidosho wa kwetu; mpaka uwajue vizuri ndio utaiona Ikulu. Ukifanya pupa - watakimbia ! Hapo kuna ubaya gani ?
 
Yo Yo,

Unajua sisi Wanyamwezi, Kikwapa huwa tuna kihusudu sana.

Wasukuma kama Nyani Ngabu ndiyo wanaanza kusagia baada ya kufika majuu...

Si unaona hata Braza Kapuya hapa, wala hakikumpa shida......

Kapuya4.jpg
No offence hao akina dada mbona miguu myeusi sana, au ni vumbi la kwenye dance floor?
 
me naonaga wenyewe wanachukua hawa wa kewetu, sasa na sisi tuanaruhusiwa kuwachukua hawa wa kwao kwani??

Sidhani kama kuna aliyekukataza... ni juhudi zako za utongozaji na... eer...eer.. mfuko wako. Binafsi nilijaribu, sikukemewa. Lakini.. mmmh!! Hasara ilikuwa kubwa sana.:crutch:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom